utatoa wapi hayo mafunzo
hujaweka mawasiliano
je ni bure au ni kulipia,
mbona kama limekaaa kitapeli ili ufatwe DM, uwapige pesa
mwenye nia yadhati angeweka details za kutosha , ila ulivyoandika ni dhahiri unatafuta mchongo/fursa,
unawaita watu kwenye fursa ,kuwageuza wao ndio fursa kwako