Kwa wagonjwa wa kukosa usingizi soma hapa

Stop rub the lump mummy....stress zitayeyuka na usingizi utaupata.
 
Hii kweli inafanya kazi coz mara nyngi nikil ndzi mbivu 1 usiku napat usingzi mwingi ghafla.
 
nashukuru kwa ushauri wako maana janga la kukosa usingizi ni ugonjwa mbaya sana na unafanya hata afya ya mtu inakuwa dhaifu.ngoja mimi nijaribu na kwa uwezo wa Muumba atanisaidia
 
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 15
kunywa hayo maji
kalale baada ya dakika 20
utashtuka kesho saa nne
mimi imenisaidia maana stress hizi nilikuwa silali kabisa

Natafuta hii bado Inafanya kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom