Kwa wadau wa IT

wadu wanauliza vipi garama zako wanahitaji utoe mchanganuo wako kuna mtu yuko serious anataka apigwe msasa maeneo uliyoyataja. 0714 794842

gharama zinategemea na idadi ya watu, ugumu wa ku-deliver course yenyewe na uwezo wa mwanafunzi mwenyewe.
 
Mi namuamini Kwani java na c# tofauti ndogo sana same to c++ na c. Inshort izo zote ni C languages.
 
Mi namuamini Kwani java na c# tofauti ndogo sana same to c++ na c. Inshort izo zote ni C languages.

kaka naomba nikurekebishe kidogo C++ na C# na Java II zote ni OOP so ukijua mojawapo nyingine zitabakia kujua ku-impliment tuu na C and Java I zinatumia syntax tofauti ila pieces code au principal za source codes zake zina a very slightly differences.
 
kaka naomba nikurekebishe kidogo c++ na c# na java ii zote ni oop na c and java i zinatumia syntax tofauti ila pieces code au principal za source codes zake zina a very slightly differences.
mdau uko safi kwenye mambo ya document management systems,enterprise content management na business work flows? Naitaji mtu wa ares hizi naomba tuwasiliane.
 
Hello wana JF! Ndugu zangu nina Bachelor in IT(BSCS) na natafuta wadau wa IT wanaotaka kuongeza knowledge kwenye JAVA, C, C ++, C#, PL, AJAX, PHP, MySQL, HTML,XML, LINUX, CSS, JAVA SCRIPT na WEB designing kama tuition kwani nilikuwa nafundisha wanafunzi wa Open University ila mkataba umeisha . Contact gymeric@gmail.com.

Baba Erick hebu kuwa serious kidogo, weka mchanganuo mzuri. Gharama halisi bila kujali idadi maana kila mtu anaweza kuja kama individual. Mfano weka gharama ya mtu mmoja ni sh ngapi, pia timeframe itakuwaje, na muda wa darasa ni saa ngapi? Maana wengine ni wafanyakazi na bila kusahau Venue itakuwa wapi. Binafsi nimekuwa interested kama kweli unauwezo wa kuzifundisha vizuri bila longo longo. Ukinijibu haya maswali yangu nikaridhika, nitakutafuta mara moja.
 
mdau uko safi kwenye mambo ya document management systems,enterprise content management na business work flows? Naitaji mtu wa ares hizi naomba tuwasiliane.

hapana kaka nafahamu ila sina siyo kwenye level ya kufundisha ni kwa ajili ya kufanyia issues tuu.
 
Baba Erick hebu kuwa serious kidogo, weka mchanganuo mzuri. Gharama halisi bila kujali idadi maana kila mtu anaweza kuja kama individual. Mfano weka gharama ya mtu mmoja ni sh ngapi, pia timeframe itakuwaje, na muda wa darasa ni saa ngapi? Maana wengine ni wafanyakazi na bila kusahau Venue itakuwa wapi. Binafsi nimekuwa interested kama kweli unauwezo wa kuzifundisha vizuri bila longo longo. Ukinijibu haya maswali yangu nikaridhika, nitakutafuta mara moja.

JAVA I(80,000) na time 3weeks of 2.5hrs of lecture/day
JAVA OOP(120,000) na time 5 weeks of 2.5hrs lecture/day,
C(90,000) time 3 weeks of 2hrs of lecture/day, C ++(120,000) time 4weeks of 2hrs of lecture/day,
C#(120,000) time 5weeks 2hrs of lecture/day
{
, PL(50,000), AJAX(50,000)}time 2 weeks of 2.5hrs of lecture /day,
PHP(80,000) time 3 weeks of 2.5hrs of lecture/day
SQL(70,000 ) time 1 week of 2.5hrs of lecture/day
, ZIFUATAZO HTML,XML, CSS NA JAVA SCRIPT ni 80,000/= kila moja )time 2 weeks of 2.5hrs of lecture/day na WEB designing(BURE) time 4 weeks of 1hr of lecture/day
Venue ubungo/NEAR RIVERSIDE au Tabata Bima. MUDA INATEGEMEA NA RATIBA ZAKO KWANi nitajaribu ku-fix into mine.
KARIBUNI WADAU.
Ipo siku mtakuja kuamini uwezo wangu
 
mkuu uliye post unaelewa tofauti kati ya computer science na it........ngoja nikusaidie ni hivi computer science ina deal na programming languages ambazo ni java,ajax,web design,lakini it ipo under engineering ...so ni heri ungesema hii ni kwa wanafunzi wa computer science na it
 
yaan ndugu waala hauko sahihi mdogo wangu najua nature yetu ni ku-kosoa mambo bila kujua au kuwa na knowledge ya kutosha Computer Science ni subset ya IT. UKITAKA NIPE EMAIL YAKO NIKUPE MORE INFO.
 
  • Thanks
Reactions: Slm
Kamanda unatisha! Hiyo PL ni nini? Labda nitakuja kwa tuiti yake.

PL maana yake sii POLISH LANGUAGE kaka ni Procedural Language which is an extension of SQL. Inasaidia sana kwenye maswala ya Database integration.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom