Kwa wadada!

Kwa wadada!

Maki J

Senior Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
154
Reaction score
162
Kama ulioga saa12 asubuh na ulikuwa busy na kazi,biashara au kilimo na muda huu ndo umerudi nyumbani unajiandaa kuoga....kujua kama K yako ni safi Fanya yafuatayo

Vua pichu ukiwa bafuni alafu itazame kwa makini kama ina uchafu nusa kama huo uchafu unatoa harufu kali ongeza usafi zaidi kama ni msafi na bado unatoka uchafu unatoa harufu mbaya nenda hospital....

Pili kuna imani imejengeka kuwa ni lazma K itoe uchafu usio nuka mm napingana...uchafu unatoka pale ambapo mwanamke anakaribia au kumalizia P,pili uchafu unatoka pale mwanamke anapokuwa na ashki(matamanio ya sex) kama hauko kwenye nyakati hizi zote mbili na K yako inatoa uchafu zidisha usafi zaidi

Tatu co lazma ukivua pichu ukinusa inatoa harufu mbaya lazma pichu ibaki na harufu ya kawaida ya K na si harufu za mikojo au uchafu mwingine.

Nawasilisha wenye mapovu karibuni
 
Khaaa.. Watoto wale wa shule hili somo linawahusu, sidhani kama kuna mwanamke humu JF hajui kama papuchi yake ni chafu...
 
Harufu ya kawaida ya k.
Ndo harufu gani hiyo mkuu
 
Khaaa.. Watoto wale wa shule hili somo linawahusu, sidhani kama kuna mwanamke humu JF hajui kama papuchi yake ni chafu...
Kumbe..
Hapo kwenye ovatar yako ndo nakufanyia usafi au
 
Yaan izi Uzi zako zinavojipanga napata wasiwasi kuna maneno behind (silent prints) unajarib kutwambia mi nimekupata hivi,.."I am single, inexperience in love,love sex and with clean pussy,looking for smart boyfriend"..Niko sahihi!?
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Uko sahihi kabisa mkuu
joseverest nimejifunza kwako mkuu jinsi ya kujibu majibu wanayotaka kusikia watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuh haya mkuu..wamekuelewa
 
Hii sijui ni thread yako ya ngapi, nakutana nayo leo. Hongera, ongeza juhudi utafaulu 100%
 
Kwenye somo lako umesahau kitu kimoja
Kuna baadhi ya Papuchi zinatoa asali, sasa hizo Papuchi tuziweke kwenye kundi lipi?
Advise please
 
Back
Top Bottom