ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
tulikotokaaaaaaaaaaa
Mmmh:what::what:
tulikotokaaaaaaaaaaa
Hakuna anaekufaa.
Sababu: Huyo wakwanza anakuridhisha lakini hakupendi wewe anawapenda hao wengine lakini pia atakuletea maradhini na msongo wa mawazo.
Sababu yapili huyo wapili ndo hafai kabisa kwakuwa hawezi kutimiza haja zako kitandani hivyo atasababisha uchepuke kutafuta anaekuridhisha mwisho utaambulia maradhi pia.
Nakushauri endelea kutafuta atakaekufaa hapo unadandia mwanaume wa wenzako. Hakuna wakwako kati yao.
Haki ya nani ningemchagua huyo wa kwanza kwasababu kwasababu anabeba msingi wa mahusiano yetu, raha ya mapenzi kitandani, labda kama hujawahi kumpata mwanaume mtamu akakupa raha ndo utamchagua huyo asojiweza kitandani. Na huyo anaejiweza to me hata kama angekua domo zege stil ningemkubali maana namzimika sana mwanaume mwenye "mbio ndefu, za ukweli"kwa kinadada wenye umri kati ya 18-35.
Kama ungekuwa na uchaguzi kati ya wanaume wawili kwa ajili ya kuwa na serious relationship; wa kwanza anakuridhisha, kukufikisha na kukidhi haja zako kitandani, ni handsome, sio domo zege, na ana mahusiano ya kingono na wanawake wengine.
Wa pili hakuridhishi kitandani wala hakufikishi, sio handsome, domo zege na hana kabisa mahusiano na wanawake wengine.
Yupi kati ya hawa ungechagua? Na kwa sababu ipi?
Mie siamini kama kuna mwanaume ambaye hamfikishi mwanamke na tuition zote hzi karne ya 21.
Mie siamini kama kuna mwanaume ambaye hamfikishi mwanamke na tuition zote hzi karne ya 21.
ivi kuwa domo zege ni shida eehe