Kwa wadada wanao taka mapenzi ya dhati

Kwa wadada wanao taka mapenzi ya dhati

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
HESHIMA MBELE WAKUU, HII NIMEIKUTA MAHALI, NIKAONA NI VYEMA, NIKASHARE NA WANA JF HAPA, ILI NISIKIE NA NYINYI MNASEMAJE .."[h=5]

Wapendwa dada zangu katika mapenzi na mnaopenda kuangalia tamthilia za Kimexico na Kifilipino,

Mnaona jinsi Alejandro anavyomjali Maria Clara?
Mnaona jinsi anavyomuangalia machoni kwa upendo?
Mnaona jinsi anayombeba kwenye farasi mweupe kwa mahaba?
... Mnaona jinsi anavyompigia simu akimmiss na kumbusu?
Mnaona jinsi anavyomnunulia vitu vya thamani na vizuri?
Mnaona kwenye anniversary yao anavyomnunulia gari zuri jekundu?

Je, ungependa na wewe mambo kama hayo yakutokee kwenye maisha ya mapenzi?

Fuata hatua zifuatazo;

1. Hamia Mexico au Ufilipino.
2. Uwe na sura nzuri kama Maria Clara.
3. Mtafute Alejandro.
4. Igizeni tamthilia kwa pamoja.
.
.
.
.
.
.
.
Au amka kwenye hiyo ndoto ya kuwa na mtu kama Alejandro na uanze kumpenda kwa dhati huyo mpenzi wako wa sasa amnbaye hela yake ni ya kuunga unga, ana kitambi kisicho na fomula na msumbufu.
[/h]
 
umeathiriwa na tamthiliya hizo LIKUD! Tengeneza ya kwako!!!
It was once said that if you cant be with the one you love, then love the one you are with!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ya nini kuhamia mexico wakati hapahapa daslam kina alejandro wako kibao
 
Hahahaaaa....!! Mapenzi ya Tamthilia bwana..!!
 
Back
Top Bottom