Kwa Wadada tu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wadada tu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Dec 26, 2010.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  .. Mie ni mtu wa makamo kiasi. Nimeachwa (japo si kwa mambo ya kushindwa ngono - na kumtoa mtu (mwanamke) out sishindwi-, je kuna mwanaJF (mwanamke) anaetafuta mwanaume alie-serious (Tigo situmii na wala sitaki hata kufikiria)?

  Alie serious na anai-PM
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hadi umekuja hapa..basi haupo serious
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nimetuma Pm kama 4 hivi umezipata??? nasubiri majibu:whoo::whoo:
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Kwanini Tausi? hapa kuna wanawake wa maana sana na wengi wao wanastahili kabisa kuwa wake za watu ambao wako serious katika kutafuta wenzi wao. Nimesoma siku za nyuma hapa jamvini kuna watu wameshaoana au wako mbioni kuoana.

   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  INANIPA MASHAKA ... humu unakuta wengi wanatania zaidi... hawako serious bana!
  Kama kuna watu wamekutania JF wakaoana basi ni maajabu!
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  It's so easy to fall in love but hard to find someone who will catch you...............

  .........We waste time looking for the perfect lover, instead of creating the perfect love.
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ooooopppssss!!!!!! what you have said is verry verry important to everry one to understand it,,,,,:yuck::yuck::yuck:
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,059
  Likes Received: 3,241
  Trophy Points: 280
  Bora ungesema unatumia tigo,,ungewapata wengi.
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kweli mpendwa. ni ushauri mzuri sana. insteady of finding a perfect one, just create one for you and leave God to promote and protect you
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hiyo sababu ya wewe kuachwa haitamuathiri huyo mwingine ajae?.....nimeuliza tuu
   
 11. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  oooops! Sorry mi sio mdada ila nimepita tu kwa bahati mbaya. Eleza sifa zako unaweza kubahatika.
   
 12. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Preta umebadili pcha kwanini ile ilikuwa na wapa munkari kina kaka kiza
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  teh teh.....happy boxing day
   
 14. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo ww ni mdada unaetafuta anaetaka tigo? Haya bacha njoo changamkia hapa
   
 15. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamani msimkatishe tamaa, ni kweli kuna watu wanafanya utani wa mahusiano humu ndani lakini pia wengine wako serious, hivyo endeleeni kum-PM mhitaji wale wote wenye sifa.

  Itakuwa ni historia na sifa nyingine kwa JF kuwa kiungo cha ndoa. Mimi pia nina mipango ya kutafuta humuhumu JF mwenza wangu mda ukifika, kwani maneno matamu ya keyboard ya warembo wa JF (hasa katika jukwaa hili) yananimaliza kabisa.
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  new year.jpg mimi nitakutafuta,lakini bora utupe maelezo zaidi,nina amini ipo siku na mimi nitapata wangu humu humu
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Heeeeeeeeeee na xmass hii kaka?
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe ni balaa,hadi kwenye mitandao?
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  toa sababu za kuachwa kwanza ndio turuhusu dada zetu hapa JF waonyeshe interest
   
Loading...