Kwa wadada tu

Kwa wadada tu

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,088
Reaction score
72,506
Tujaribu na hivi
1473770387747.jpg
 
Wewe jamaa mambo gani unaleta sasa.. Unatupeperushia ndege wetu kwa mambo haya
 
nahisi kama nimekosea njia. nilijua njia hii inatokea Madale kumbe nimetokea changanyikeni. samahani sana wahusika
 
watu wa mwanza kama wa mbeya tu
watu wa hovyo hovyo
 
Umefanya tafiti kwamba kila anaekufata Pm anataka akutongoze, just Curious to know
 
mimi namaliza hapahapa kama inbox kuna kuombana hela
 
Back
Top Bottom