Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Ahsante ya nn tenaAsante
Mbona kina maelezo?!Habarini dada zangu,
Kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni,
Kwa wale wanaotumia angels pad hivi kile kipimo kilichomo kwenye pad za angels kinatumika kupima nini hasa?
Kwa wale mnaojua naombeni mnijuze,waiting to hear from you soon!
Ndiyo kina maelezo,lakini sijayaelewa ndo maana nimeleta hapaa jukwaanMbona kina maelezo?!
duhNi cha kupimia oil na mafuta ya break
Mpendwa hayo maambukizi ni ya ugonjwa gani hasa ili tutake action pale utakapokuwa umeona kimekua abnormal colourKinapima ph, ph ikibadilika inamaana unaweza kuwa na maambukizi. Hujaona sheet yenye sample za rangi, kile ndo reference kukwambia uko normal au laah.
kile kijiti chenye pamba ndo cha kuchukulia sample yako hlf unaiweka kwenye kile kikaratasi chembamba chenye rangi ya njano mwishoni hlf unalinganisha rangi inayotokea na zile zingine. Sina uhakika kama ni kipimo accurate
Okay shukrani sana mkuu,hayo maambuki ni yepi naomba nidadavulie nipate kuelewa vema na wengine pia wapate kuelewa.Kinapima ph, ph ikibadilika inamaana unaweza kuwa na maambukizi. Hujaona sheet yenye sample za rangi, kile ndo reference kukwambia uko normal au laah.
kile kijiti chenye pamba ndo cha kuchukulia sample yako hlf unaiweka kwenye kile kikaratasi chembamba chenye rangi ya njano mwishoni hlf unalinganisha rangi inayotokea na zile zingine. Sina uhakika kama ni kipimo accurate
Umesema wenye matatizo mbalimbali poleni ndo maana nimesema asanteAhsante ya nn tena
Oooh okayUmesema wenye matatizo mbalimbali poleni ndo maana nimesema asante
Wallahi u made my day haki nimecheka vibayaUmesema wenye matatizo mbalimbali poleni ndo maana nimesema asante
Asante
[emoji23] [emoji23] [emoji23] madame unanicheka mwenzio nna matatizo haya bwanaWallahi u made my day haki nimecheka vibaya
Ina maana bango la pads hukuliona hahahhahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeliona la matatizo ya kupewa pole umenichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] madame unanicheka mwenzio nna matatizo haya bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepaona panapouma zaidi mengine hata siyajuiIna maana bango la pads hukuliona hahahhahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeliona la matatizo ya kupewa pole umenichekesha sana
Hahahahahha nikajiuliza asante ya nn tena kumbe ya kupewa pole mama leo siku yangu umeifanya iishe poa sio kwa majibu hayo[emoji115] [emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepaona panapouma zaidi mengine hata siyajui
Na wewe nipe pole sio uishie tu kufurahi[emoji23]Hahahahahha nikajiuliza asante ya nn tena kumbe ya kupewa pole mama leo siku yangu umeifanya iishe poa sio kwa majibu hayo[emoji115] [emoji115]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya pole mamaNa wewe nipe pole sio uishie tu kufurahi[emoji23]
Asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya pole mama