we utashauri kicheche utaweza?
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na james usimegwe na kimaro ila muweke standby
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
kaka i love it when girls fight.....cause i get to see their panties
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na JAMES usimegwe na kimaro ila muweke standby
Tu parles comme une pute?
namuombea,mthamehenani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.
Wapi tena Bigie?Hebu njoo huku nikuunganishe na ankal tuzichange.
Huyo anatafuta Loan Board bana, sio mume.
Sema MIMI NI MNGONI, sasa unaposema mama yangu mchaga na baba Mngoni unataka tuekuelewe vipi? au sema kabila langu mimi ni MNGONI hayo ya mama mchaga sie hatuyajui. Pili HUFAI HATA KWA MCHUZI WA DAGAA UNAWAPANGA KWA KUTAFUTA KUOLEWA hahahahahaa utatumika mpaka ushangae!!!!!!!!!!!!!!
Situmii chafu chafu.......... unachonitafutia peleka Conner bar.usinitishe wee ******* bado nimekuweka pending,nitakutafuta kwa wakati wangu,na habari ndio hiyo!
sitaki ona wanangu wanaandamana kisa LOAN BOARD, NATAKA WASOME BILA PRESHA, nachanganyikiwa sana na pesa za wamarangu ila nampenda masai ile mbaya.hahahahaa!!! habari yake binafsi!
Kuna mtu anatafuta Loan Board hapa badala ya Mume.
chimunguru hiyo inaitwa assembled in california, made in china, used in tanzania
ukweli ndio huo wadada hatutakubali kuwa na mmoja, hata akiwa mmoja lazma wengine wawe standby ili kikiwaka upate pa kuhemea fasta
now eat your first words
elewa wewe chimunguru, ninamahusiano katika levo tofauti na hao wakaka hata masai mwenyewe bado sijampa ishu.NACHEZA KIJANJA WANAUME HAMNA MAANASema MIMI NI MNGONI, sasa unaposema mama yangu mchaga na baba Mngoni unataka tuekuelewe vipi? au sema kabila langu mimi ni MNGONI hayo ya mama mchaga sie hatuyajui. Pili HUFAI HATA KWA MCHUZI WA DAGAA UNAWAPANGA KWA KUTAFUTA KUOLEWA hahahahahaa utatumika mpaka ushangae!!!!!!!!!!!!!!
unajua pale aliposema wako katika level nilijua perhaps mmoja ndo mchumba,hawa wengine they are just good friends ambao anao.
Nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa na mchumba but with alikuwa na friendship na wanaume wengine wawili,uchumba ukavunjika kwasababu za ukabila,then katika wale marafiki mmoja alimuoa miezi mitano baadaye,so nilifikiri marytina yuko na relationship ya aina hii........😛lane:
Situmii chafu chafu.......... unachonitafutia peleka Conner bar.
good that you have known whats up!