tatiana mdogo wako huyo hebu ongea nae mpe ushauri kutoka kwa dada zake kama nyie
marytina chukua huu ushauri ufuatao
You come to love not by finding the perfect person, but by seeing an imperfect person perfectly
Amkubali huyo mmasai tena na kile kijitu chao wanachokata/tahiri bila kukiondoa na kuviringisha chini kinaongeza mahanjumati
Je pense qu'elle est un d'eux
Kwa hiyo fanya hivi.........fuata tamaa, nenda kwa wachaga for ndoa, ukumbuke watoto wataenda shule na wataenda chooni na wataenda Moshi Xmas, na mama yako atafurahi......UKUMBUKE KUWA HUWEZI KUPENDA MCHAGA, UKAZIPENDA HELA ZAKE, HALAFU UKACHUKIA BIA YAKE.WAMAMA WOTE WANATAMANI MABINTI tuolewe kwao, kaa kimya kama ni mkaka.HAPA ARUSHA wadada tunataman sana chagga for ndoa, ila huyu MASAI ana hekima za kizidi
wewe kibushuti unanitafuta,mijitu isiyojijua jinsia zao/sexuality kama nyie wanipitie mbali....!hapo ulipo hujijui kama ww unakojoa umesimama ama umechuchumaa...msonyo!
Hivi vitoto vinachosha jamani
mmh nadhani ww ni mdada na wadada hatuna lugha kama hizi hasa kwa wanaume maana ni watu tunaowaheshim sana!watch out mdomo uliponza kichwa,ni ushauri tu frm mdada mwenzio,am out!
SAWA ILA HAPA NI SWALA LA SURVIVAL YA WATOTO,nia ya kuishi ni to pass genetic material to next generation, UGUMU WA MAISHA UNAWEZA KUJA WAFANYA WATOTO WANGU KITU MBAYA ( survival 4 fittest) au CHADEMA watatoa rais maisha yabadilike ndio...Shosti, money ain't a thing kama kweli unampenda.
Hebu rudisha kumbukumbu zako nyuma, ulipokuwa for 2 na boyfriend wako yuko form 3.
Mnakula mihogo, mnainjoi. Usiku mkikutana kona mnamalizana hukohuko.
Mambo yalikuwa mazuri na mapenzi ya dhati.
Penye upendo pana amani, penye tamaa ya pesa pana ukimwi
wamama wote wanatamani mabinti tuolewe kwao, kaa kimya kama ni mkaka.hapa arusha wadada tunataman sana chagga for ndoa, ila huyu masai ana hekima za kizidi
ah ah ah Vous ne savez pas si invisible est à l'aise avec le français! Vous serez interdit en quelques minutes!
are you sensing something LD? hebu pekua ma-file.
Post ya kwanza tu ananiita mwanaume.........na jina langu kama la Roselyne
mnh una uhakika huyo ni mwanaume na wewe???ubakie huko huko out!:frusty:
ukweli ndio huo wadada hatutakubali kuwa na mmoja, hata akiwa mmoja lazma wengine wawe standby ili kikiwaka upate pa kuhemea fastaSiku nyingi sana nilikuwa natafuta fataki wa kike, nashukuru leo nimempata, ngoja nikaharakishe kuchukua zawadi yangu... sorry, nilikuwa napiga chabo tu ngoja niondoke kabla hamjanikuta wenyewe
take this in your face we KICHECHE!
hahahahaa!!! habari yake binafsi!Bigirita Bigirita, mmmmmh, siku ya kwanza tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
Hapana, isije kuwa............................
Desidii elewa mume hasifiwi ukubwa wa dude lake bali uwezo wa kuwaorienti watoto wawe atakavyo, i hope huyu masai ni best at this, anaishi na mamake tena mama mtu ananipenda sana. wadogo zake wapo skuli OLD MOSHI na weruweru
ukweli ndio huo wadada hatutakubali kuwa na mmoja, hata akiwa mmoja lazma wengine wawe standby ili kikiwaka upate pa kuhemea fasta