Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

such a great mother.........mother is dead,dad is dead kids in the university! wow
when you are dead........utaniachia uwenyekiti wa Loan board mpaka hapo maza atakapokufuata sio?
 
when you are dead........utaniachia uwenyekiti wa Loan board mpaka hapo maza atakapokufuata sio?

Tutakuachia Bigirita,ningempa the Finest but ameshaniboa,ye ni kunywa konyagi tu na Tatiana wake..............πŸ˜›lane:
 
Tutakuachia Bigirita,ningempa the Finest but ameshaniboa,ye ni kunywa konyagi tu na Tatiana wake..............πŸ˜›lane:

mama ushaanza kuniingilia kwenye mali zangu eeeh! l.o.l
 
mama ushaanza kuniingilia kwenye mali zangu eeeh! l.o.l

Nimemuambia tu,ila tumuweke kwenye ile list.......tutamfikiria kabla ya kufa.....ila uamuzi wa mwisho tutaomba hapa JF......l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…