Kwa Wadada na Wakaka, Vijana na Wazee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wadada na Wakaka, Vijana na Wazee

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mshikachuma, Mar 11, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu
  wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu
  na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana, leo mapenzi
  motomoto kesho wanafumaniana guest, leo unapendwa kwa vile unangawira
  na kesho zikiisha unaachwa.

  Je, mapenzi ya kweli bado yapo au yalishajifia enzi hizo?
   
 2. CPU

  CPU JF Gold Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kujua uhondo wa ngoma . . . . .

  Achana na mambo ya kuangalia wengine wanavyoachana, huwezi jua pengine mapenzi yao walijengea ktk mchanga
  Mapenzi ya kweli na matamu yapo kaka, na wanaochezeana pia wapo.
  Tafuta wa kwako, kua nae taratibu kama anavyokuwa mtoto, onyesheni kujaliana, kuheshimiana na kuvumiliana.
  Onyeshaneni kujali hisia za kila mmoja wenu pale mnapohitajiana halafu njoo tena hapa JF MMU uniambie mapenzi ya kweli yapo au hayapo?
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Yapo kwa wachache sana....2 out of 10!!!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Yapo sana.
  Mi ninayo. Ha ha ha!
   
 5. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hayo yote uliyoniorozeshea hapo watu wameshaniambia sana. Lakini nikiangalia mambo yanayotokea huku mitaani
  yananikatisha tamaa kabisa ya kuwa na mpenzi permanent au kuoa. Na sasa nimeamua kuwa F.F.F (triple f)
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maama Arsenal hapa nakubaliana na wewe bila kipingamizi. Lakini tatizo hasa ni nini
  hadi mapenzi ya kweli yametoweka?
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa hilo dada Husna. Lakini je, unamda gani ndani ya ndoa? (kama umeolewa) au unamda gani na huyo boy friend wako? isije kawa yaleyale.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mimi kwenye haya masuala napenda kutumia Biblia....

  Mapenzi ya kweli yametoweka kutokana na misingi ya kuleta hayo mapenzi ya kweli haizingatiwi....mfano,wapo wengi wanapenda mtu kwa kile alicho nacho,anavyoonekana......misingi ya wapenzi kuwa pamoja ita determine mapenzi yao....

  Ukisoma Wimbo Ulio Bora 8:6-7....Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuri kwenye mkono wako,kwa maana upendo wa kweli una nguvu kama mauti,wivu wake ni mkatili kama kuzimu.Unachoma kama wili wa moto,kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa.Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,mito haiwezi kuugharikisha.Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwake kwa ajili ya upendo,angelidharauliwa kabisa.

  Ukisoma utaelewa kuwa sasa wengi hawapendani kivile hakuna upendo wenye nguvu unaowaweka watu pamoja....wengi ni tamaa na malengo yalio tofauti na upendo....

  Ukisoma 1 Wakorintho mlango wa 7....utagundua kupungua sana kwa hofu ya Mungu hata kama upendo upo:
  Tumeambiwa kwa tulio wakristo tuwe watu wa mke/mume mmoja......wengi hawafanyi hivi
  Tumeambiwa tusinyimane....wengine wananyimana mahitaji ya ndoa
  Hakuna heshima panapokosena upendo wa kweli....hakuna kusameheana/kuvumiliana pasipo na upendo wa kweli....so its complicated!!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mimi dada husninyo.
  Mbona unachakachua jina langu. Lol! Haya kaedit nitarudi kujibu maswali mengine.
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Una hasara kuliko faida ndg yangu..............chukulia mungu anakubariki miaka 90 ya maisha utashare nani tunu hiyo?
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  asante michelle umesema vyote hasa hapo kwenye red huwezi kufanya hayo kama huna upendo wa kweli :lol:  Ukisoma utaelewa kuwa sasa wengi hawapendani kivile hakuna upendo wenye nguvu unaowaweka watu pamoja....wengi ni tamaa na malengo yalio tofauti na upendo....

  Ukisoma 1 Wakorintho mlango wa 7....utagundua kupungua sana kwa hofu ya Mungu hata kama upendo upo:
  Tumeambiwa kwa tulio wakristo tuwe watu wa mke/mume mmoja......wengi hawafanyi hivi
  Tumeambiwa tusinyimane....wengine wananyimana mahitaji ya ndoa
  Hakuna heshima panapokosena upendo wa kweli....hakuna kusameheana/kuvumiliana pasipo na upendo wa kweli....so its complicated!!
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yaaah ofcoz it is so complicated! Lakini ahsante sana kwa ufafanuzi wa kina. Acha nitafute bible ili nipitie vizuri hiyo
  mistari uliyonipa. Mmmh......but it seems unajua darasa la mapenzi!
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye watu na mke/mume mmoja hadi kiama ndipo panapotushinda tuliowengi.
  Ukweli ni kwamba hata kama mtapendana vipi hata pasipo kugombana' lazima mtachokana kwenye chakula cha usiku.
  maana hakuna jipya yote ni yaleyale tu na hisia ni zilezile tu. Hapo ndipo watu hasa wanaume wanaamua kuchakachua nje.
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapana....nilichoandika ndicho anachonifundisha mchungaji na kusoma pia bible!
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenzangu kwa maisha haya ya sasa na kizazi hiki,ni bora tu niishi peke yangu na rafiki yangu mkubwa atakuwa SALAMA c.
  maana mademu wa siku hizi ni mizunguo tu kwa kwenda mbele! japo si wote. Ni bora niwe triple f kuliko kujipa mastres yasiyo
  na ulazima
   
 16. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimekupata dada! mmmh...... na wewe humo? si mchezo
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160

  :juggle::juggle: :washing:
   
 18. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ni kanisa gani hilo dear nijiunge nalo? namimi napenda kupata hayo maujuzi.
   
 19. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maamaa Arsenal (Michelle) hapo unamaanisha nini? I mean hapo kwenye hivyo vikatuni.
  Umeniacha njia panda dada angu!
   
 20. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jaluo jeusi bora umenisaidia kuuliza hilo swali,maana i was about to ask her the
  same qsn.
   
Loading...