mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 623
- 430
Baada ya kulitumikia kanisa la Anglikana kama askofu kwa miaka 20 na kama askofu wa dunia kwa miaka kumi Archbishop wa canterbury Dr. Rowan Williams ametangaza kustaafu ifikapo december 2012. Dr. williams ambaye kwa sasa anamiaka 62 ametangaza kujiuzulu ili kupata nafasi na muda wa kusimamia vyema nafasi yake mpya kama MASTER OF MAGDALENE COLLEGE, CAMBRIDGE. Wakati akitangaza kustaafu anaacha kanisa likiwa na changamoto nyingi sana chache ni hizi
1. Kanisa na Ushoga
2. Wanawake kuwa maaskofu
3. Mmeguko wa kanisa
kwa maelezo zaidi nenda www.archbishopofcanterbury.org
1. Kanisa na Ushoga
2. Wanawake kuwa maaskofu
3. Mmeguko wa kanisa
kwa maelezo zaidi nenda www.archbishopofcanterbury.org