Kuuliza sio ujinga ndugu,ndio maana nimeuliza hapaWewe ni msomi kweli au hivyo vyeti umepewa bure?
mbona unalazimisha mambo nduguUtakuwa umetoka Amozon College au Grace College wewe
kwa nini ndguNgoja niwasiliane na Nacte tukunyanganye hicho cheti cha Diploma maana hudeserve kuwa nacho
KivipiKama cheti chako kinatambulika usingeuliza yote hayo
Acheni majungu na husda mbayaWasomi wa Zion college bhana
asante sana kwa maelezoLazima uwe na mtiririko wa vyeti ivi cha darasa la saba, cha form four, cha certificate/from six (kimoja wapo au vyote kwa pamoja), na cha diploma ukiwa navyo ivyo kazi unapata
Lazima uwe na mtiririko wa vyeti ivi cha darasa la
Sasa kama cheti kinatambulika na serikali kwanini uwe na mashaka.......labda kama hiko chuo kina walakini sehemuKivipi