Kwa vyeti hivi naweza kupata kazi?

Ngoja niwasiliane na Nacte tukunyanganye hicho cheti cha Diploma maana hudeserve kuwa nacho
 
Lazima uwe na mtiririko wa vyeti ivi cha darasa la saba, cha form four, cha certificate/from six (kimoja wapo au vyote kwa pamoja), na cha diploma ukiwa navyo ivyo kazi unapata
 
asante sana kwa maelezo
 
Back
Top Bottom