Kwa vile hauoni...

Upo sahihi...

Unakisifu chakula cha mkeo ndicho kitamu kuzidi vya wanawake wengine sio kwasababu ni mpishi mzuri ni kwasababu hujaonya vya wanawake wengine.
 
Ongeza sauti Ariff,kule ndichi hawajakuskia
 
Kwa vile hauoni haina maana hakipo, kipo lakini ndio hivyo huoni...!
Inawezekana kipo, lakini hukioni. Mimi sikuoni hapo ulipo, lakini kutokukuona kwangu hakumaanishi haupo.

Inawezekana pia hakipo, ndiyo maana hukioni. Mimi siioni taji ya dhahabu ya pembetatu mviringo inayoelea ukumbini pangu, kwa sababu haipo.

Sasa kitu hukioni.

Utajuaje hukioni tu, lakini kipo, na si kwamba hukioni kwa sababu hakipo?

cc fogoh2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…