Upendo ni vitendo sio maneno matupu na hivyo vitendo vinahitaji Hela sio maneno matupu.
Jitafute kwanza wewe ndo uanze kutafuta mapenzi.
Mapenzi yanahitaji uwe na Hela ya kujihudumia wewe binafsi na kuhudumia mpenzi wako wa kike
Na nyie wadada wasaidieni hao wanaume wanaojitafuta Kwa...
Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.
Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela...
Wakuu,
Mnaendeleaje na hali?
Nina rafiki yangu amenielezea kuwa kwenye mahusiano yake mtu alie nae ni wabaridi mno na yeye ni wa moto
Na haijawahi kutokea mambo yakabadilika always ni hivyo hivyo. Yaani mwenza ni ukimgusa mwili wake ni baridi regardless ya hali ya hewa. Lakini yeye ni wa...
Mzuka Wana jf
Mke wangu ni wa kijaluo mazee analala na full jinziii na mimi nimeamua, nalala na suti.
Nimefunga tai, shati nachomekea, suruali nachomekea kwenye soksi za Yanga
Mkanda sifungui. Mbwai ni mbwai
Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.