Dah Mkuu hiyo statement ishasambaratisha ndoa iliyodumu kwa zaidi ya miaka 19,, ulikuwa ni ugomvi wa kawaida tu mke kakasirika kamropokea mume hayo maneno,, mume alichojibu na,,,,,,na mie nilikuwa nahisi kitu kama hicho nashukuru kwa kunihakikishia naenda kupata bia moja nikirudi nikute wewe na wanao mshafungasha na kuondoka,,, mpaka leo mama yule na mume wamekuwa kama paka na panya
kama ´ni wife kakuambia hivyo plz nivema ukaenda kucheki DNA ili ujiridhishe