Kwa ushahidi huu wa CHADEMA kuhusika na Utekaji na Utesaji, Boniface Jacob hakutakiwa kuwa Uraiani

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
this HTML class. Value is

Imenisikitisha na kunihuzunisha sana. Huu unyama ambao binadamu mwenzetu alifanyiwa kiasj hiki haukupaswa kufumbiwa macho.

Natoa rai kwa Jeshi la Polisi. Wafufue makaburi. Boniface Jacob, Benson Kigaila, John Mrema, Anthony Komu, na wengineo waliohusika kwenye unyama huu wachukuliwe hatua kali. Sijajua mpaka sasa kesi yao imeishia wapi
IMG-20170413-WA0038.jpg
 
Huji wewe ni lini unatukana na kuwabeza wenzio, Mungu hadhihakiwiw... soma hii....
Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi watatu wameuawa na majambazi huko Mkuranga, Mkoani Pwani.

Habari hizo zinasema kuwa, askari hao wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi hao wakati wakijiandaa kuondoka kwenye lindo ambalo lilikuwa ni kizuizi cha barabarani ili warudi kituoni.

Imeelezwa kwamba majambazo hao waliwavamia ghafla polisi hao waliokuwa kwenye gari na kuwapiga risasi na kuwaua wote palepale eneo la tukio, kisha kutokomea kusikojulikana.
 
Mnajitahidi sana kufunika na kutetea dhambi na udhalimu wa baba yenu FARU JOHN, Lakini siku yaja ambapo hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe jingine!
 
Mnajitahidi sana kufunika na kutetea dhambi na udhalimu wa baba yenu FARU JOHN, Lakini siku yaja ambapo hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe jingine!
hebu kanusha basi huo ukweli we mchumia tumbo. Mbona unaweweseka sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom