bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Ni mrembo zaidi yangu,tajiri kuliko mimi,kiufupi ni ''born town''kitambo.
Nimeshindwa kustahamili na hii tabia yake ya mjini,wanaume aliyonitambulisha ni wapenzi wake ni zaidi ya wanne,sim zinapigwa usiku kucha,sms ndo usiseme kama vua za masika.
Kibaya zaidi chumba chenyewe ni kimoja,kitanda kimoja,mara kaingia huyu mara yule.Nimekuwa mlinzi kwa saa 20 kwa siku.Hapana kwa tabia hii ya rafiki yangu mji umenishinda wacha nirudi kijijini nikajipange upya.