SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 3, 2025 #1 Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,521 Jan 3, 2025 #2 Unaelewa maana ya ukwasi lakini Ruzuku siyo ukwasi 😂😂
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,736 Reaction score 89,326 Jan 3, 2025 #3 blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Ana ukwasi upi na wa kiasi gani?Chanzo?Naamini unajua hadi ya sirini kwa Mbowe:Je,amepanga kuwahonga bei gani kwa kila mmoja?
blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Ana ukwasi upi na wa kiasi gani?Chanzo?Naamini unajua hadi ya sirini kwa Mbowe:Je,amepanga kuwahonga bei gani kwa kila mmoja?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,136 Reaction score 96,161 Jan 3, 2025 #4 blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Kwanza Mboe ni nani? hata hivyo, Kwahiyo amewahonga? ushahidi?
blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Kwanza Mboe ni nani? hata hivyo, Kwahiyo amewahonga? ushahidi?
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,359 Reaction score 27,739 Jan 3, 2025 #5 blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Mboe , Mbowe
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,265 Reaction score 27,921 Jan 3, 2025 #6 blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Tayari wa set agenda items za habari wameishabadili upepo!! Tuko kwa Kabe na upuuzi wake!!!
blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Tayari wa set agenda items za habari wameishabadili upepo!! Tuko kwa Kabe na upuuzi wake!!!
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 3, 2025 Thread starter #7 Kura zote kwa Mwenyekiti
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,404 Jan 3, 2025 #8 Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti
Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,404 Jan 3, 2025 #9 blessings said: Kura zote kwa Mwenyekiti lissu Click to expand...
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,130 Reaction score 3,673 Jan 3, 2025 #10 Rushwa haitamsaidia kupata kura. Akahonge wajumbe wa ccm tu wanaoishi kwa rushwa
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,487 Reaction score 4,875 Jan 3, 2025 #11 blessings said: Kura zote kwa Mwenyekiti Click to expand... Usikute wewe sio mwanachama wa CHADEMA ila ni uchawa tu.
blessings said: Kura zote kwa Mwenyekiti Click to expand... Usikute wewe sio mwanachama wa CHADEMA ila ni uchawa tu.
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,711 Reaction score 6,474 Jan 3, 2025 #12 Mkunja Ngumi na wewe mbona kama ni roporopo
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,134 Reaction score 7,650 Jan 3, 2025 #13 johnthebaptist said: Unaelewa maana ya ukwasi lakini Ruzuku siyo ukwasi Click to expand... Kwa mambo ya Mbowe, HAUPITWI!
johnthebaptist said: Unaelewa maana ya ukwasi lakini Ruzuku siyo ukwasi Click to expand... Kwa mambo ya Mbowe, HAUPITWI!
E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,307 Reaction score 3,730 Jan 3, 2025 #14 Upumbavu mtupu
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jan 3, 2025 #15 blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Umejuaje ana huo ukwasi? Au wewe ni mkewe?
blessings said: Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura Click to expand... Umejuaje ana huo ukwasi? Au wewe ni mkewe?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jan 3, 2025 #16 LIMBOMAMBOMA said: Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti Click to expand... Labda kavuna vya kutosha toka Kwa Abduli:
LIMBOMAMBOMA said: Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti Click to expand... Labda kavuna vya kutosha toka Kwa Abduli:
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Jan 3, 2025 #17 johnthebaptist said: Unaelewa maana ya ukwasi lakini Ruzuku siyo ukwasi 😂😂 Click to expand... Kwani Abduli au join the chain havikuutunisha mfuko?
johnthebaptist said: Unaelewa maana ya ukwasi lakini Ruzuku siyo ukwasi 😂😂 Click to expand... Kwani Abduli au join the chain havikuutunisha mfuko?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,445 Reaction score 45,012 Jan 3, 2025 #18 Kura 1199 kati ya 1200 kwa mbowe - moja itaharibika na mnajua ni ya nani.
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Jan 3, 2025 Thread starter #19 FUSO said: Kura 1199 kati ya 1200 kwa mbowe - moja itaharibika na mnajua ni ya nani. Click to expand... Njaa mbaya
FUSO said: Kura 1199 kati ya 1200 kwa mbowe - moja itaharibika na mnajua ni ya nani. Click to expand... Njaa mbaya