Kwa Ujumbe huu, TCU imefunga system kwa Second selection?

Unaambiwa update inawezekana kozi uliyoichagua qualification zako hazijakizi vigezo (ufaulu wako na kozi ulizojaza haviendani ndo mana)
Alafu sasa hivi nacte wamefungua unaweza kuchek profile yako vizuri

Wakati nasoma diploma sikutoa nafasi kwa ulichokiandika kutokea. (Nina nguvu za kutosha kuwachosha washindani wangu).

Nimegundua suala hili liko kwa watu wengi. Nitaleta mrejesho uchaguzi ukikamilika. Asanteni
 
Ok sawa
 
KAKA SUA TUNAENDA KWELI KWA MAGUMASHI HAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…