Kwa ujio wa FLUTTER ya google, Je ndio mwisho wa React native ya facebook?

Hard truth
 
Kotlin is the official language used by Google. Soon Java wataitema since kumekuwa kuna ongoing court battle over the past couple of years.
 
Kotlin is the official language used by Google. Soon Java wataitema since kumekuwa kuna ongoing court battle over the past couple of years.
Ni rahisi na haraka hivyo?

Google walitengeneza android kwa kuegemea java kabla ya oracle kununua sun Microsystems (waliuunda java).

Ingekuwa wana lengo la kuachana na java nadhani google wasingeshift na kutumia open-jdk tangu 2016.
Ref: Mysterious Android codebase commit | Hacker News

Sidhani kama google wanaweza achana na java kirahisi sema ni vizuri kujifunza kotlin kwa future purposes.
 
Sorry google sio waliotengeneza Android bali waliinunua tu kutoka kwa kina Andy Rubins kisha wakaifanya open source.

Ni kweli sio rahisi kwa google kuiacha java coz hata ukifatilia mkutano wa Google i/o ya mwaka huu yule jamaa anaeongoza team ya kudevelop android studio aliongelea hilo swala vizuri sana. In short alisema kuna API baadhi zilizoandikwa kwenye java zitakua shifted to kotlin lakini sio zote, sema tu kwenye API nyingi mpya kotlin ndio itapewa kipaumbele.

Google kuabandon java ni kitu ambacho hakiwezekani kufanyika kwa miaka ya karibuni hivi kwa sababu ya Api za android, nyingi zinatumia java na ni vgm sana kuzishift to kotlin kiasi kwamba hata baadhi ya products zao google bado zinatumia java kwa asilimia ya kutosha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…