Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Kuna chitchat, jukwaa la mapenzi na majukwaa mengine kama hayo!Wale wa Chai tuna comment wapi?
Hizi ni language/framework zinazotumika kutengeneza apps kama ya JF, facebook. instagram na nyingine kama hizo...Du Nimetoka KAPA.
Okay nimekupata mkuu.Hizi ni language/framework zinazotumika kutengeneza apps kama ya JF, facebook. instagram na nyingine kama hizo...
Ukiwa tayari utaelewa!Mara flutter, mara Java, mara react native sielewi!
Kwangu naona flutter is cool kwa sababu i hate JS! Google is among giant tech companies, so with ts support, flutter is here to stay! naamini italeta ushindani kwa react native!Flutter bado sana kwa react native ingawa ina support ya kutosha kutoka google..
mimi naona bado javascript ina nguvu kuliko dart sababu ikiwemo community support ya kutosha compare to dart...
ingawa kwenye flutter nimependa widget customization ilivyo simple...
for me flutter is for lazy dev.....
na pia kwanza ndio ipo version 1.0,,,smh
Sizani kama ni sahihi kuilinganisha kotlin na java, infact sizani kama kuna mtu alitarajia kwamba itaitoa java. React sizani kama ina miaka minne kwenye industry, codebase yake huwezi ilinganisha na ya java!!swali la kujiuliza ni kuwa mbona kotlin haikuiondoa java au react haikuiindoa java sasa itakuwaje flutter iiondoe react but time will tell
Mkuu ulisomea wapi IT?Hizi ni language/framework zinazotumika kutengeneza apps kama ya JF, facebook. instagram na nyingine kama hizo...
Sijawahi kusomea IT mkuu.Mkuu ulisomea wapi IT?
Kwangu naona flutter is cool kwa sababu i hate JS! Google is among giant tech companies, so with ts support, flutter is here to stay! naamini italeta ushindani kwa react native!
I hate JS but it always forces me to love it, it is like a latino side chick. If I were mr President I'd include it in secondary school curicullum coz it's one of the neccesary technologies to know in this era.You'll have to start loving JS because it's now everywhere. Web, mobile, AI (tensorflow), IoT etc. Anza na Typescript if you can.
Flutter iko vizuri lakini tatizo ni moja, documentation ya languages zote zinazotolewa na google huwa wanaelezea kama vile kila atakaesoma documentation zao ni Pro-programmer, so wale programmer wa kawaida huwa wanasubiria Pros wasome na kuanza kutumia kisha wakiandika tutorials ndipo programmers wa kawaida waanze kuitumia nao. Hebu angalia mfano web yao ya android development, pale novice akiingia siku moja kesho yake harudi. Hata ukinglia youtube channel yao kwenye comments hadi wahindi wanalalamikia hio issue kwamba google hawarepresent documentations zao ktk njia ambayo inarahisisha hata novice programmer aelewe. Na hio ndio inacost Dart pamoja na flutter.Flutter bado sana kwa react native ingawa ina support ya kutosha kutoka google..
mimi naona bado javascript ina nguvu kuliko dart sababu ikiwemo community support ya kutosha compare to dart...
ingawa kwenye flutter nimependa widget customization ilivyo simple...
for me flutter is for lazy dev.....
na pia kwanza ndio ipo version 1.0,,,smh
Kotlin au react au flutter kuiondoa java ni FUTURE IMPOSSIBLE TENSE labda tu watu waache kutengeneza apps zenye uwezo mkubwa waanze kutengeneza viji-apps vya kawaida kama ecommerce sites na booking apps. Java ina uwezo mkubwa sana wa kutumia native android features ikiwa ya pili kutoka kwa C/C++. Hizi flutter na react-native zitasaidia wale ambao walikua wanatumia sana webview na phonegap, na hii kotlin itasaidia wale wanaotoka kwenye python na kuanza kufanya android development(To me kotlin is just like python). Lakini kama mtu anataka kuandika app ambayo itatumia native features nying au app ambayo inacommunicate directly with the kernel basi hao kotlin, flutter na react-native hawana nafasi, hapo itabidi utumia native C/C++ au java(iliozoeleka)swali la kujiuliza ni kuwa mbona kotlin haikuiondoa java au react haikuiindoa java sasa itakuwaje flutter iiondoe react but time will tell
Flutter iko vizuri lakini tatizo ni moja, documentation ya languages zote zinazotolewa na google huwa wanaelezea kama vile kila atakaesoma documentation zao ni Pro-programmer, so wale programmer wa kawaida huwa wanasubiria Pros wasome na kuanza kutumia kisha wakiandika tutorials ndipo programmers wa kawaida waanze kuitumia nao. Hebu angalia mfano web yao ya android development, pale novice akiingia siku moja kesho yake harudi. Hata ukinglia youtube channel yao kwenye comments hadi wahindi wanalalamikia hio issue kwamba google hawarepresent documentations zao ktk njia ambayo inarahisisha hata novice programmer aelewe. Na hio ndio inacost Dart pamoja na flutter.
Ukiangalia official documentation ya react-native ndipo utaona tofauti, facebook wameielezea kwa lugha rahisi sana na ya kueleweka kiasi kwamba hata novice anaweza kuisoma na kuelewa na akiongezea tutorials basi anakua vzr sana.
Ni ukweli usifichika kwamba flutter iko na nguvu sana na performance nzuri zaidi ya React lkn react itabaki kuwa kipenzi cha wengi kwa sababu tu ya community support na urahisi wa kuelewa documentation zao, SOMA HAPA KUANGALIA COMPARISON YA FLUTTER NA REACT_NATIVE