Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.

Hawezi kuendelea na kidato cha tano Kwa kuwa ana C mbili.
Ili aendelee na kidato cha tano alipaswa kuwa na walau ufaulu unaoanzia C tatu kwenye masomo yasiyo ya Dini.
Ili aendelee form 5 atapaswa kurudia mtihani aongeze C moja.
Ila anaufaulu unaomwezesha kuendele na masomo Kwa ngazi ya Cheti baadae Diploma halafu degree

Kama vp arudie mtihani tu kama kuna mdogo wangu nae mwaka jana kapata hivyo D4 na C 2
Alizirudia HIZO D zote na kapata C3 na D 1 now anaenda Advance mapeeema tu