Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Rudi tena lete propaganda nyingine, maana hii hata imegoma kabsa
 
Kuwa na heshima na Rais wa Watanzania huyo. Watanzania wote tunamchagua Tundu Lissu. Ndiye atakuwa Rais wa wanyonge. Wale wanyanyasaji tupilia mbali.
 
JPM hawezi kufanya midahalo na mtu mwenye faili milembe,utakuwa ni kumdhalilisha rais mteule
Jiwe anaogopa mdahalo vibaya mno, anajijua kuwa hana uwezo wa kujenga hoja. Baada ya uchaguzi huu jiwe litarudishwa kwao kuchunga ng'ombe, bahati yake Mh Lissu kasema hatolipa kisasi lakini uchunguzi wa manunuzi ya ndege lazima ufanyike

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Huna akili ya kuweza kuambulia!
 
Kama unajali sana hisia zako na afya yako ya akili, Jitahidi ukubali Lissu hawezi kushinda. Na kama leo unaweza kuwaza Lissu anaweza kushinda jee 2015 uliamini nini? na imani yako ilikuwa kwa kiwango gani wakati wa Lowassa 2015? Pole sana.
Je wajua kuwa safari hii hatumwachii Mungu? Ukombozi wa nchi siyo lazima washiriki watu wote mana kuna wale dhaifu(wewe mataga wenzio) ambao mnasubiria kuletewa ukombozi.

Back
Top Bottom