Kwa uandishi huu ni bora sheria ya habari ipite, wenye certificate wakae pembeni

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Screenshot_2016-12-29-08-58-31.png

Waandishi wa habari Tz sijui ilimradi gazeti lijae tu. Mnaboa sana na habari zenu za ovyo ndio maana magazeti yanafungiwa vitumbua.
 
Unashindwa kuelewa kuwa hilo ni gazeti la udaku? Halafu bila Shaka hayo ndo magazeti yako.
"Bila shaka" hayo ndio mawazo yako, kuwa hata magazeti ya udaku yana haki kuandika chchote, je mwandishi mwenye ethics bora za uandishi haijalishi ni udaku unaona hiyo habari ipo sahihi? Familia itajisikiaje? Assume angekuwa ni mzee wako unaona kuwa imeandikwa amechukuliwa msukule wat will be?? Think deep sio kuja na povu la sabuni ya omo.......hatukatai kuwa ni udaku but walisoma kuna habari zina weza leta side effect kwa jamii hasa kwa familia kama habari hiyo.
 
Nachotaka kukuambia usiwe unayaamini Sana hayo magazeti ya udaku complain kwenye magazeti yanayoandika hard news Kama wewe ni mmoja wa wasomaji wa hayo magazeti unayapenda, unayasoma na umayaamini endelea siyo vibaya maana ndicho ulichochagua. Lakini usilalamiki maana ndicho ulichochagua.
 
Magazeti yanayoandika hard news pia nasoma, lakini nacholaumu ni uandishi huu ambao unaweza leta mgongano ndani ya familia dats all, wanapaswa kujiangalia kwa jicho la tatu sio kila habari lazima iwe kwenye gazeti haijalishi ni udaku au ni nini.
 
Kama ni migongano basi ingekiwa mingi Sana. Hao wanafamilia pia hawayaamini hayo magazeti. Wewe tu na moyo wako.
 
Wapo ambao hawapitwi na hizo nakala mkuu! Kila mtu ana Interest zake na habari zinazohusisha IMANI hazinaga malumbano, potezea
 
Back
Top Bottom