Kwa tweet hii, sijui Nape anatuma ujumbe gani?

Hana issue anahangaika tu, wajifunze kuwa na akiba ya maneno. Wanashindwa hata kujifunza kwa historia tu. Watizame watu kama akina Hussein Mwinyi. Mtu unasimama mbele za watu unatukaaaana, unaharibu kwa kusimamia tumbo lako ukiwazingua wanakutupa pembeni wanaendelea na mambo yao. Hopeless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom