Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
Mambo ya gambe mkuuPole mkuu,ila cku nyingine usikubaki kwenda kwake na pia umchunguze Kwa muda kabla ya kugegeda.....sio umetongoza Leo then kesho unaenda kutelezesha kwenye ute.
Teh hapana mkuu,nilijiandaa kwa kong fu!Mkuu vp, jamaa hajakushikisha ukuta?
Ukweli ni siri yako.Teh hapana mkuu,nilijiandaa kwa kong fu!
Watu mna maneno hahahahahaaaaaahUkweli ni siri yako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mambo ya gambe mkuu
Usilie
Umeshindwa kuelezea kilichoendelea kwa sababu alizibua nozzle tata.... pole sana.Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
Hakuna hata kimojawapo mkuu,niliwatorokaKupakwa mafuta then imo imo imo
Kulambishwa rungu la kipepe
Kupigwa
Lazma kuna moja wapo lilikutokea!!!!
Mafuta tena?kama nakuona vile ulivyochezea ukuni, ulipakwa mafuta?
umesema utatuambia kilichoendelea, yani kilichoendelea ni kutoroka? Thubutuu uliliwa utumbo mpana...Hakuna hata kimojawapo mkuu,niliwatoroka
pole ya nini mkuu?kilichofuata ilikuwa ni kupambana kuokoa uhaiUmeshindwa kuelezea kilichoendelea kwa sababu alizibua nozzle tata.... pole sana.
Hahahahaaa,ilitokea vurugu kubwa maana jamaa alikuja peke yake,nilipomzidi nguvu kwa kumpora panga alilokuja nalo ilimbidi apige kelele kuomba msaada,nikala konaumesema utatuambia kilichoendelea, yani kilichoendelea ni kutoroka? Thubutuu uliliwa utumbo mpana...