Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Wahi promosheni hii mwisho mwezi huu...
View attachment 222413
View attachment 222413
Wahi promosheni hii mwisho mwezi huu...
View attachment 222413
mmmh mkuu kijigani bado wanazitaka hizo...hizo unanunua zote then unaenda kijijini kugombea ubunge badala ya kuwagawia tshirts na kofia unawagawia hizo simu lazima wakupe kura zote!!!
unaenda kwenye yale majimbo wabunge wao waliohusika kwenye Escrow, unawapa wapiga kura hizo simu then unamwaga fitina kwamba wabunge wao waliwaibia hela zao za Escrow ila wewe ni mkombozi umewaletea simu, aisee utalamba kura kama upepo...mmmh mkuu kijigani bado wanazitaka hizo...