Kwa teuzi hizi zinazofanywa na Mhe.Rais, nani atabisha kwa hoja kuwa Upinzani umewapika viongozi wengi? CCM ilikwama wapi?

Kwani James Mbatia(mbunge wa kuteuliwa enzi za JK) Anasemaje kuhusiana na hili?
 
Ha ha ha haaaaaaaa
Utakuwa wakuja na mshamba humu kama hujui wapo wanaotumia JF ambapo walibadili ID au kufungua mpya kwa majina yao na kufika walipo..

Jifunze kufikiria nje ya boksi..💀💀💀
Nyie vilaza wa buku 7 ntaishia kusifia na kupiga pambio tu
 
Natazama kwa hicho la tatu kitendo cha wanasiasa mbalimbali wa upinzani kuhamia CCM. Naona ni kama bahati iliyomfikia Mhe Rais na hata CCM anayoiongoza katika kuwapata wateule wake.

Tangu mwaka 2015, Mhe Rais na CCM kwa ujumla wake umepata wateule kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi na katika kutimiza matakwa na dhima ya kuunda Serikali. Hadi sasa waliokuwa Wapinzani wameteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.

Kuna Manaibu Mawaziri (Waitara na Shonza); Katibu Mkuu wa Wizara (Profesa Mshiriki Kitila Mkumbo); Balozi(Dr. Slaa); Mkuu wa Mkoa(Mama Mghwira); Katibu Tawala wa Mkoa(Kafulila); Wakuu wa Wilaya(Katambi na Mtatiro); MaDAS (mfano Mtela Mwampamba) na kadhalika.

Kwangu mimi huo ni ushahidi kuwa Upinzani uliwaandaa, kuwalea na kuwapika wahusika hao na kuwapa sifa za kiuongozi. Ndiyo maana Mhe Rais na CCM kwa ujumla wameridhika nao na kuwakabidhi nafasi hizo za kiuongozi. Mimi siwaiti Wasaliti wa upinzani ni fursa iliyopatikana kwa CCM ambayo 'haikuwa na watu kama hao'.

CCM wamekwama wapi katika kupika vijana na kuwakomaza kuwa na sina za kiuongozi kama hao waliotoka Upinzani? CCM ilikwama wapi kuwa na watu wazima kwenye sifa na kaliba hizo ili kuonwa na kuaminiwa na Mhe Rais? Kimsingi, sifa ziende kwa Upinzani, jiko lenye kuivisha wengi!
Fanya tathmini Mkuu kwanza. Angalia, ukubwa wa Serikali kwa maana ya Viongozi waliopo kwenye nafasi mbalimbali. Halafu linganisha hao waliokuwa wapinzani ni wangapi na viongozi waliokuwepo CCM ni wangapi? Jibu utakalopata nadhani utaona analysis uliofanya ni sawa na kuchota maji ya bahari kwa kisoda.
 
Natazama kwa hicho la tatu kitendo cha wanasiasa mbalimbali wa upinzani kuhamia CCM. Naona ni kama bahati iliyomfikia Mhe Rais na hata CCM anayoiongoza katika kuwapata wateule wake.

Tangu mwaka 2015, Mhe Rais na CCM kwa ujumla wake umepata wateule kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi na katika kutimiza matakwa na dhima ya kuunda Serikali. Hadi sasa waliokuwa Wapinzani wameteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.

Kuna Manaibu Mawaziri (Waitara na Shonza); Katibu Mkuu wa Wizara (Profesa Mshiriki Kitila Mkumbo); Balozi(Dr. Slaa); Mkuu wa Mkoa(Mama Mghwira); Katibu Tawala wa Mkoa(Kafulila); Wakuu wa Wilaya(Katambi na Mtatiro); MaDAS (mfano Mtela Mwampamba) na kadhalika.

Kwangu mimi huo ni ushahidi kuwa Upinzani uliwaandaa, kuwalea na kuwapika wahusika hao na kuwapa sifa za kiuongozi. Ndiyo maana Mhe Rais na CCM kwa ujumla wameridhika nao na kuwakabidhi nafasi hizo za kiuongozi. Mimi siwaiti Wasaliti wa upinzani ni fursa iliyopatikana kwa CCM ambayo 'haikuwa na watu kama hao'.

CCM wamekwama wapi katika kupika vijana na kuwakomaza kuwa na sina za kiuongozi kama hao waliotoka Upinzani? CCM ilikwama wapi kuwa na watu wazima kwenye sifa na kaliba hizo ili kuonwa na kuaminiwa na Mhe Rais? Kimsingi, sifa ziende kwa Upinzani, jiko lenye kuivisha wengi!
We nawe hoja zako ni za kinafiki we unaona hizi tauzi ni technical au ni kukomoa watu fulani

Na mwisho wake baadae huu mvurugano yatazaliwa mapya yanaweza yakawa mabaya hata kwako na jamii yako
 
Kuna makada wamekurupuka kunielewa na wamenianzishia mada ili kunijibu. Muwe mnasoma kwa makini hata kama ni slow learners. Ha ha ha ha ha ha
 
Natazama kwa hicho la tatu kitendo cha wanasiasa mbalimbali wa upinzani kuhamia CCM. Naona ni kama bahati iliyomfikia Mhe Rais na hata CCM anayoiongoza katika kuwapata wateule wake.

Tangu mwaka 2015, Mhe Rais na CCM kwa ujumla wake umepata wateule kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi na katika kutimiza matakwa na dhima ya kuunda Serikali. Hadi sasa waliokuwa Wapinzani wameteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.

Kuna Manaibu Mawaziri (Waitara na Shonza); Katibu Mkuu wa Wizara (Profesa Mshiriki Kitila Mkumbo); Balozi(Dr. Slaa); Mkuu wa Mkoa(Mama Mghwira); Katibu Tawala wa Mkoa(Kafulila); Wakuu wa Wilaya(Katambi na Mtatiro); MaDAS (mfano Mtela Mwampamba) na kadhalika.

Kwangu mimi huo ni ushahidi kuwa Upinzani uliwaandaa, kuwalea na kuwapika wahusika hao na kuwapa sifa za kiuongozi. Ndiyo maana Mhe Rais na CCM kwa ujumla wameridhika nao na kuwakabidhi nafasi hizo za kiuongozi. Mimi siwaiti Wasaliti wa upinzani ni fursa iliyopatikana kwa CCM ambayo 'haikuwa na watu kama hao'.

CCM wamekwama wapi katika kupika vijana na kuwakomaza kuwa na sina za kiuongozi kama hao waliotoka Upinzani? CCM ilikwama wapi kuwa na watu wazima kwenye sifa na kaliba hizo ili kuonwa na kuaminiwa na Mhe Rais? Kimsingi, sifa ziende kwa Upinzani, jiko lenye kuivisha wengi!
Hata CCM wenyewe huwa wanajua kwamba vijana na watu walioiva vizuri kiuongozi na kiuchapa kazi wapo upinzani. Na bado kuna akina Silinde, Lissu, Zitto, Mch. Msigwa, Mbowe, Mdee, Bulaya, Matiko, Lema, Boniface, Isaya mwita na wengine wengi tu. Ukweli watu wenye akili wapo Upinzani. Hilo halina ubishi.
 
Natazama kwa hicho la tatu kitendo cha wanasiasa mbalimbali wa upinzani kuhamia CCM. Naona ni kama bahati iliyomfikia Mhe Rais na hata CCM anayoiongoza katika kuwapata wateule wake.

Tangu mwaka 2015, Mhe Rais na CCM kwa ujumla wake umepata wateule kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi na katika kutimiza matakwa na dhima ya kuunda Serikali. Hadi sasa waliokuwa Wapinzani wameteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.

Kuna Manaibu Mawaziri (Waitara na Shonza); Katibu Mkuu wa Wizara (Profesa Mshiriki Kitila Mkumbo); Balozi(Dr. Slaa); Mkuu wa Mkoa(Mama Mghwira); Katibu Tawala wa Mkoa(Kafulila); Wakuu wa Wilaya(Katambi na Mtatiro); MaDAS (mfano Mtela Mwampamba) na kadhalika.

Kwangu mimi huo ni ushahidi kuwa Upinzani uliwaandaa, kuwalea na kuwapika wahusika hao na kuwapa sifa za kiuongozi. Ndiyo maana Mhe Rais na CCM kwa ujumla wameridhika nao na kuwakabidhi nafasi hizo za kiuongozi. Mimi siwaiti Wasaliti wa upinzani ni fursa iliyopatikana kwa CCM ambayo 'haikuwa na watu kama hao'.

CCM wamekwama wapi katika kupika vijana na kuwakomaza kuwa na sina za kiuongozi kama hao waliotoka Upinzani? CCM ilikwama wapi kuwa na watu wazima kwenye sifa na kaliba hizo ili kuonwa na kuaminiwa na Mhe Rais? Kimsingi, sifa ziende kwa Upinzani, jiko lenye kuivisha wengi!
Umesahau n wabunge wamepewa baada ya kufukuzwa uko ccm wakaenda Opposition wakapikwa, wakapikika. CCM kujua muhimu wao ikabidi iwanunue kama wafanyavyo kwenye mpira. Tena wamenunuliwa kwa bei ya juu + marupurupu kibao
 
Mmeshaanza kulalamika.
Wakati watu wa upinzani wananunuliwa mlijiona wajanja kuwa upinzani unakufa.
Kumbe upinzani unakuja kuchukua nafasi zenu.
MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Ukiona Baba yako anasaidia sana watoto wa nje kuliko wa ndani jua kuna tatizo
 
Back
Top Bottom