Kwikwi kwikwikwi. Miaka hii kumi utaumia sana. Utasubiri masihi wako na utakaa hautamuona alishaenda kuchunga ng`ombe.Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Panapo majaaliwa.Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
kuna tetesi kwamba wasaliti wote kuula .Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Masiha, nabii, mussa etc alishindwa uchaguzi.Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Unaishi kwa maisha ya kinabii sio? Ishi maisha halisia acha kuishi maisha ya ndoto.Nikitafakari nakuona yanayoendelea ndani ya nchi yangu nakosa neno sahihi la kuelezea! Ila iko siku tutampata mokozi wa kweli! Vijana tuwe na Imani! Wanaoamini mokozi kapatikana tujitahidi kuwaamsha!
Bora uishi Maisha ya ndoto kuliko kuishi Maisha ya MAIGIZOUnaishi kwa maisha ya kinabii sio? Ishi maisha halisia acha kuishi maisha ya ndoto.
Hujakosea, unachofikiria ndichokilicho moyoni mwako, yawezeka unatafuta washirika ili upate relief!Kijibwa cha kiroho kitakuua...acha wivu na husda we kijana...
Nami naona kwa mbali teuzi hizi zinambeba sana dogo mmoja ... haya tusubiriNashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.