Laptop yangu nikiiwasha tu screen yake hutikusika kwa mwanga mkari wenye mistari mpaka inabust tayari kwa kutumia ndo inaacha mtikisiko,kuanzia hapo naweza kutumia bila ya matatizo lakini lazima iwe kwenye umeme nikichomoa tu mtikisiko unakuwepo mpaka niichome kwenye switch,.kuna kijana mmoja pale kariakoo nilimuonyesha akasema eti ni VGA, siijua ni nini na sikumpatia kuitengeneza asije akazua mengine,.ila naomba kujua hili ni tatizo gani ndg wana JF na suruisho lake nitapata wapi,.nipo tayari kuonana na technician mzuri kwa suruisho,nilitaka kuiuza ninunue nyingine ila kwa tatizo hili nimegonga mwamba.,laptop yangu ni TOSHIBA,SATELLITE L500-1XD