kwa tabia hizi walimu mtakufa maskini

kwa tabia hizi walimu mtakufa maskini

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
tabia kubwa walio nao walimu ni kuogopa kuthubutu, inakuwaje walimu wanashindwa kuungana watano wakachanga hata kila mwezi elfu hamsini hamsini kama kwa miezi mitano mwaka hata zaidi ili kupatamtaji afu wakafanya mradi kwa pamoja mfano mradi wa kilimo,maana serikali ishawasau....badala yake kila mwalimu yupo kivyake vyake,tufunguke walimu joint company zina faida kubwa
 
Una uhakika walimu hawana mwamko wa kujichangia na kusaidiana? kuidai serikali yao ni lzm na si hiyari isitoshe si walimu wote wenye hali duni wapo wenye maisha safi na hawana hata mda wa kupigana na serikali akili kicwani mwako wangapi wana mishahara safi lkn hakuna la maana wanalolifanya kujikomboa kimaisha.
 
Thread yako ipo general zaidi bila kuonesha uhalisia.mimi nina ushahidi na walimu wanaofanya ulicho kisema tena kwa zaidi ya kiwango ulicho taja,fanya utafiti kwanza
 
Am a teacher na nauhakika wa kutengeneza 30elfu kila cku tofaut na salary na cku zingne zaid ya hapo MUNGU akijalia mara chache sana nimeshuka hapo unataka nikufundshe nlifanyaje?.hakuna mshahara unaotosha pia sio kwamba walim ndo wana salary ndogo kupita watumish wote wa serikal kwan hao polis wanasalary gan zaid ya teacher wa dip achana na teacher wa degree kudai ongezeko la salary ni hak yao kwan faida yake ni kwa watumish wote ila wengne wanashindwa kudai tokana na nature ya kaz yao ni hautakiw kuhoj na wengne ni tokana na uchache wao hawawez sikika ndo mana wanawatumia walim wawawakilishe
 
Thread yako ipo general zaidi bila kuonesha uhalisia.mimi nina ushahidi na walimu wanaofanya ulicho kisema tena kwa zaidi ya kiwango ulicho taja,fanya utafiti kwanza

i might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama
 
vidole havilingani pia akili za watu baadhi hazihitaji mabadiliko ikiwemo zao hao walimu mimi pia nipo kijijini mkuu na ushahidi wa walimu hao ni wakijijini pia.jitahidi kuwaelimisha tu mkuu watakuelewa
 
Kwer ukisemacho lakn mshahara wa mwalim hupokelewa kulia na hapo hapo hutoka kushoto kwan n mwez had mwez
Daaaaaaa
 
i might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama
Kaka kama umekuwa na miaka mitano kwenye ualimu na umeshindwa kuwashawishi wenzako kuungana ni uzembe wako, kijiji kuna fursa nyingi pengine kuliko hata mjini. Kuna mikopo benki kopa then lima maana huko ardi ni bure hata km utaambiwe ukodi ni kwa gharama ndogo.Acheni kuona kada ya ualimu ndo haina mishahara kuliko wengine bana. Tumia akili yako kujiongezea kipato mwingine kama hayuko interested na wazo lako fanya kivyako.
 
Una uhakika walimu hawana mwamko wa kujichangia na kusaidiana? kuidai serikali yao ni lzm na si hiyari isitoshe si walimu wote wenye hali duni wapo wenye maisha safi na hawana hata mda wa kupigana na serikali akili kicwani mwako wangapi wana mishahara safi lkn hakuna la maana wanalolifanya kujikomboa kimaisha.

yeye anataka kuunda vicoba yao huko kwao kujinusuru kimaisha na sio kuwa hajui kunawengine washafanikiwa..
 
Kuna Jamaa Yang Nae Ni Teacher Yupo Chaka Moja Mbaya Ila Ye Aliingia Loan Km Mil4 Nmb Akanunua Mbolea Na Kuwakopesha Wakulima Kipind Cha Masika Kwa Malipo Ya Mahindi Kipind Cha Mavuno(na Kariba Ka30%) Kwa Kweli Alifanya Ivo Kwa Miaka Miwili Amepiga Pesa Nzuri Na Kuwekeza Zake Town Na Kaz Bado Anapiga Km Kawa Pia Saiz Anasubir Kipind Cha Masika Km Kawa Hii Kaz Ni Kwa Ajil Ya Kupata Mtaj Tu Sasa Wewe Unataka Kununua Mpaka Ndege Kwa Mshahara Akili Kumkichwa Utakufa Maskin Peke Yako
 
i might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama

jichangishe wewe na ukoo wako kwanza au hupendi ndugu zako wakajikwamua? ukitoka kwa ndugu zako alafu nenda kwa walimu watakuelewa,
 
Umeongea vema ndugu yangu ila tatizo lako ni kwamba hukufahamu unaongeakitu gani maana inaonesha wazi kuwa umeongelea hewani bila utafiti(umekurupuka).
 
Back
Top Bottom