lady roranky
Member
- Aug 7, 2011
- 73
- 14
usijidanganye kuna mtu anampa ela nzuri wewe ni wa kumliwaza tuu,eti.ajawai kukuomba hela ndo unachofuraia wake up this dig planet we know how to deal wt ur brain,kashakusoma wewe unapenda nini,be responsible kma unampenda,
Tembelea hostel kwao ukaone picha za birthday walivyopendeza na mupenzi wake. Wewe alikukubalia kwa kua ulikua king'ang'anizi sana.
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.
Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.
Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!
Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!
Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.
Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!
Asipobadilika wallahi vile NAOA!
una muda gani?
Siku akianza kuomba utajutaa, usiombe yakukute lol. Im having a vivid examples, for such kind of girlfriends.
Subiri aingie ndani ya nyumba hubadilika hao viumbe,labda asiwe mfanyakazi
Ha ha ha! The road is very unpredictable usichekelee kuto kuombwa hela mda mwingine kunakuwa na jibaba linakata sana zaid yako. .
usijidanganye kuna mtu anampa ela nzuri wewe ni wa kumliwaza tuu,eti.ajawai kukuomba hela ndo unachofuraia wake up this dig planet we know how to deal wt ur brain,kashakusoma wewe unapenda nini,be responsible kma unampenda,
hakuna mwanaume asiyewajua ila si kigezo cha kusema atabadilika acha assumptions za kifa...la!Subiri aingie ndani ya nyumba hubadilika hao viumbe,labda asiwe mfanyakazi
Nakubaliana na wewe kabisa. If you love her then be responsible
Jipe moyo!!!!!, labda uwe umemuumba mwenyewe