Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,809
6,342
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.

Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.

Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!

Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!

Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.

Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!

Asipobadilika wallahi vile NAOA!
 
Nipe namba yake nimuunganishe kwenye Namba ya maajabu!!
Marriage is a destiny usipokaza msuli utaambulia manyoya pamoja na dalili zoote za uke wema!!
 
kubadilikaje? wanaanza kutembelea kichwa au? muwage na mawazo ya kujenga wakati mwingine eboooo!

Hahaha mkuu umenichekesha! eti "wanaanza kutembelea kichwa au?".

Afadhali umesema wewe.
 
Siku akianza kuomba utajutaa, usiombe yakukute lol. Im having a vivid examples, for such kind of girlfriends.
 
mi huwa nahakiki namba za simu, muulize hata DEMBA ....kwa hyo kitu ukilala tu......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…