Kwa taarifa yako

Yaani kwa "vionjo" vyako vinavoleta mshawasha ... wapaswa kuitwa "baby" na si bibi
Heheee angalia wasikununie watu humu hahahahah (na wakisoma hii quote yalo watasonya kimoyomoyo) ujue watu hawapendi mwishowe wataanza kukuchukia na wewe; halafu unafikiri kuna sababu.... basi tu wanatamani nisiwepo humu.

Ila ni muda tuu, bado kitambo kidogo. Wakati ukifika hawataniona humu na watasuuzika mioyo yao.

Utawasikia Kasie mwenyewe mzee bin jimama bin wa kawaidaa sanaa hahahahhaa utasema hata siku moja nilishawaambia kuwa kasie ni kigori wa miaka 18 looh heheheheh. Na huo ndo ukweli wenyewe Kasie ni bibi bin kigagula mvi hadi naniliu pale kati hehehehehe sasa sijui nipake piko hadi hapo kati. .....😱😀😛😛
 
Kama ni kununiwa waache wanune tu mie na babe wangu kassie ... ananipaje raha buana ....
 
Kama ni kununiwa waache wanune tu mie na babe wangu kassie ... ananipaje raha buana ....

Hahahahaha ngoja nikasonge ugali mie hehehhe kisha nichambue karanga kesho nna kazi ya kutwanga makopa nipate unga wa muhogo tayari kwa mapishi.

Alamsiki!!🙂
 
Duuh...

Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...

Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.


na pia watu wangetafuta sababu za kupunguza nguvu za kiume
 
Njoo nina mbegu special za kuzalisha mlipatwa na menopose..
angalau uambulie katoto kauzeeni.

Akuu kwani mie Janet Jackson??
Na uzee huu nani atamlea huyo mtoto? Unataka nikafie leba weye eeeh kweli umwnchoka looh.

Huu ndo mwanzo wa kuacha watoto wanalelewa na housegirls huku mama wa watoto wako masantula. Wakati wangu ushapita wa kufanya hayo, mie nasubiria pension pension yangu nigawane na wasiojiweza kiasi inayobaki ni kuendelea kula life hadi Israel aseme bhaaaassss!!!.
 
Kabisaa au wangekuwa wanalima hadi nguvu ziishe kama maksai. (Mfano tuu)


wee kulima si ndio wanakua makungwi wa kusugua K sasa au???kule kijijini hamnaga mabango ya waganga wa guvu za kiume,,ni hapa mjini tuu
 
duuh mkuu maisha yangekuwa mabaya sana
 
hii mada inanikumbusha maajabu ya yule mdudu anae itwa NYELA.Nae anatabia kama hizi ila huwa nyela jike mayai yakisha tungwa hukomaa ndani ya mwili wake then anapasuka sehemu ya mgongo wake kama njia ya kujifungua na yeye hufa papo hapo.
 
Hata dume la mbegu likipiga mechi kali mwisho wake hukoroma hapohapo
 
Hahahahaha ngoja nikasonge ugali mie hehehhe kisha nichambue karanga kesho nna kazi ya kutwanga makopa nipate unga wa muhogo tayari kwa mapishi.

Alamsiki!!🙂
Jamanieeeee mwaviona hivyo vionjo vya babe wangu?
HAKUNAGA MFANOWE
 
Fikiri ndio ingekuwa Binaadam.

Patamu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…