Kwa taarifa yako

Sibishani unachorekebisha ni sawa, ila pia lengo kuu la mtoa mada ambalo ndo nimeliona kuu ni kuwa baada ya nyuki dume kufika orgasm au baada ya mating na queen basi nyuki dume hufa. Kitendo kikuu ni nyuki dume kufa baada ya mating....

Darasa zuri lakini, mie nilikuwa nafahamu hivyo ila sikuwa nafahamu kiundani zaidi kama alivyoelezea Compact
 
Ukweli ni kuwa "penis" ya drone hubakia ndani ya "uke" wa queen .... wadhani ingekuwa hivyo kwa wanadamu na jinsia ya "ke" ingesalimika? .....
Si K ingeziba
 
wanawake wangeringaje ? hata kama ana hasira au kisasi na mwanaume ahitaji kuumiza kichwa ni kiasi cha kumfunulia paja tu na kulegeza macho, duuu.....!!
 
Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia.

Sijakuelewa hapo uliposema ANAFARIKI DUNNIA
siyo kwamba anafariki maana hiyo hatari yake fikiria akifariki dunia.
 
Siku hizi unachukia kuliwa nini??
 
Duuh...

Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...

Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.

Mimba ingekua ni project inayopangwa na kupewa umakini wa hali ya huu.
 
It's true nyuki dume (drone) lazima afe baada ya "mating" na malkia ...... KISABABISHI cha kifo chake ndo hasa yalikuwa marekebisho yangu
 
Ukweli ni kuwa "penis" ya drone hubakia ndani ya "uke" wa queen .... wadhani ingekuwa hivyo kwa wanadamu na jinsia ya "ke" ingesalimika? .....
Si K ingeziba

Hahahahaaa hiyo peniz ingekuwa inayeyuka kama vile glucose inavoyeyuka pindi unapoilamba hivyo key haitajaa wala kuziba heheh na usalama ungekuwepo kwa peniz nyingine kuja kukatikia hapo hahahahahah raha sana looh
 
wanawake wangeringaje ? hata kama ana hasira au kisasi na mwanaume ahitaji kuumiza kichwa ni kiasi cha kumfunulia paja tu na kulegeza macho, duuu.....!!

Hehehehee maringo ni asili ya mwanamke, hapo kwenye kisasi ingekuwa balaa ila pia heshima ingekuwepo sana na maisha yangekuwa na amani mnoo.
 
Mimba ingekua ni project inayopangwa na kupewa umakini wa hali ya huu.

Umeona eeh mchezo mchezo wa kujaribu jaribu kina cha kishimo hiki na kile ili kujua ladha tofauti tofauyi usingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…