Kwa taarifa tu...!!!!

Kwa taarifa tu...!!!!

Mshuka1

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
5
Reaction score
2
"System ya kulipia kodi ya line ya simu sh.1000/=,ikianza tu!! Nitakuwa napatikana hapa: S.L.P. 007.Arusha,TANZANIA."
 
Wizi mtupu badala wakusanye kodi kutoka kwa wawekezaji wanaomiliki maliasili zetu wanatukaba ss walala hoi.
 
Yaan s simu tuu hata ukifanya malipo yoyote kuna makato ssa hivi watu wanakatwa TRA kodi watu watakuwa wanatembea na hela mkononi na mawasiliano yatapungua haha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sawa mkuu
Ila kodi yenyewe imeanza mgomo naona imekataa kukatishwa
 
Back
Top Bottom