Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Dec 16, 2017 #1 Wassalaam! Wakuu kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa bei ya GREASE imepanda ghafla na pia pamoja na kuwa bei ni kubwa bidhaa hiyo imekuwa adimu sana. Taarifa zaodi zinakuja punde.
Wassalaam! Wakuu kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa bei ya GREASE imepanda ghafla na pia pamoja na kuwa bei ni kubwa bidhaa hiyo imekuwa adimu sana. Taarifa zaodi zinakuja punde.
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,105 Dec 16, 2017 #2 Lazima bei ipande vyuma vimekaza sana awamu hii.
B babu na mjukuu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 3,949 Reaction score 6,752 Dec 16, 2017 #3 Toko grease ianze kutumika kwenye makarai imeadimika sana
ISHIBOBO Senior Member Joined Sep 30, 2015 Posts 145 Reaction score 57 Dec 16, 2017 #4 Itakuwa grease toka bara
koyola JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,644 Reaction score 1,749 Dec 16, 2017 #5 Timieni oil chafu mulainisha
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,529 Dec 16, 2017 #6 Kwani KY haifai?? Maana nayo ni lublicant
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Dec 16, 2017 Thread starter #7 Hazchem plate said: Kwani KY haifai?? Maana nayo ni lublicant Click to expand... watu wengine mliumbwa spesheli kwa ajili ya kuchafua thread za watu arrgh!!
Hazchem plate said: Kwani KY haifai?? Maana nayo ni lublicant Click to expand... watu wengine mliumbwa spesheli kwa ajili ya kuchafua thread za watu arrgh!!
Justine_Dannie JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 1,962 Reaction score 1,622 Dec 16, 2017 #8 Planett said: watu wengine mliumbwa spesheli kwa ajili ya kuchafua thread za watu arrgh!! Click to expand... No! I gotta admit...a guy has a point... Ni lubricant
Planett said: watu wengine mliumbwa spesheli kwa ajili ya kuchafua thread za watu arrgh!! Click to expand... No! I gotta admit...a guy has a point... Ni lubricant
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Dec 16, 2017 Thread starter #9 Justine_Dannie said: No! I gotta admit...a guy has a point... Ni lubricant Click to expand... hapa tunaongelea lubricant/kilainishi cha kulainishia/lubricate vyuma sawa we mzee!
Justine_Dannie said: No! I gotta admit...a guy has a point... Ni lubricant Click to expand... hapa tunaongelea lubricant/kilainishi cha kulainishia/lubricate vyuma sawa we mzee!
Justine_Dannie JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 1,962 Reaction score 1,622 Dec 16, 2017 #10 Planett said: hapa tunaongelea lubricant/kilainishi cha kulainishia/lubricate vyuma sawa we mzee! Click to expand... That's what we are saying "lubricants"
Planett said: hapa tunaongelea lubricant/kilainishi cha kulainishia/lubricate vyuma sawa we mzee! Click to expand... That's what we are saying "lubricants"
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 777 Reaction score 1,140 Dec 17, 2017 #11 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40]
Chipompo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 616 Reaction score 412 Dec 17, 2017 #12 Nashukuru mbadala wa GREASE japo inachelewa kupata Moto - PARACHICHI laini [emoji54][emoji54][emoji54]
Nashukuru mbadala wa GREASE japo inachelewa kupata Moto - PARACHICHI laini [emoji54][emoji54][emoji54]