Kwa style hii wewe utaenda wapi?

Kwako uache elfu 2 halafu utegemee kuku? Most of us Africans kuchepuka its in our DNA mwanaume hajioni kama katimia bila ya kuwa na sehemu ya kujitangaza boss wakati kwa mkewe akiba yake ya maandazi bado anaichukua. Na kwa mwanamke hivyohivyo anaenda kutoa ujuzi kwa anayetoa bila hata kuulizwa. Michepuko ni dhambi tusijisahaulishe.
 
Da!! Hizi makitu hawa ni uthaifu wangu.mchumba akiwa yuko vzr sector hiyo atakuwa amechukua points tatu za msingi
 
Hizo nyama anazopika mchepuko fedha anatoa Nani? Toa fedha kwa mkeo upikiwe nyama Safi , hizo za mchepuko unaweza kukuta zina mchanganyiko na midawa ya kumzuzua mwanaume.

'Sema hapana kwa mchepuko'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…