Kwa style hii, mimi nafunga kizazi

Kwa style hii, mimi nafunga kizazi

halafu wote wana umri sawa, hiyo mimba ilibebwaje?
 
Yewoooo! Mbukozi walumenyi khaa, hamba watye!! Hata ukinyofoa kzaz umeshavulunda. Kuwa mpole.
 
Usihofu YM nipatie wawili - wakike na wakiume nitawalea vizuri tu. Ila nipe ambao hawalii lii sana hasa usiku.

Nitakupa hawa ambao nimewaweka juu ya kochi maana hawa ndio hawasumbui sana ila hawa wengine ni balaa nusura ya mkosi. Ni vumbi linapanda juu ya lami ugomvi balozi hawezi kuamua.
 
It is done mostly by women.

Ukishasema "It is done mostly by women" haimaanishi kuwa wanaume hawafanyi kazi hizo. Kasumba tu ndo inatuzingua cha kuzingatia hapa ni kuwa mtu una ajira ambayo unaipenda na inakufanya upeleke mkono kinywani. Kwako wewe ungependa aendelee kuwa ombaomba kuliko kufanya kazi kama hiyo!
 
Back
Top Bottom