Kwa staili hii, unagongewa shtuka

Kwa staili hii, unagongewa shtuka

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
248
Reaction score
146
Wakaka acheni ujinga, ukitaka msichana wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao. Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba, ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy please ukiweka nicheki" umekwisha.

Anakueleza shida zake unasema "mpenzi vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeisha, ujue ulivokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi, yani ww kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa, unamuona dem wako kasuka, kapendeza na hana kazi umekazana bby umependeza,

We fala ujue mume mwenzio kaweka nguvu so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia. Hakuna msichana wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda Jumapili mpaka Jumapili we mhonge tu uone heshima. Foward kwa wakaka wote, inauma ila ndo ukweli.

 
naona ishakuwa biashara hii TANGAZO limelipiwa TRA hili?
 
Mbona tunagonga kisela tu, sihongi kizembezembe. As long as mwanamke hata umilikishe BOT na makusanyo yote ya TRA na Bandari utagongewa tu. Wengine kugongwa hovyo ni hobi waliyozaliwa nayo.
 
Mbona wake wa matajiri,mawaziri na wabunge wanagongewa nao kama kawaida
 
Wee wahudumie tu lakini utat..mbewa tu
Wanawake makuku hao wawekee mchele kwenye eneo jeupe lakini bado watachakua chakua tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom