Z zilkhery Member Joined Sep 13, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Sep 14, 2011 #1 Kufikiri, kuibua hoja na kuwasalisha mawazo ni sehemu ya upeo wa akili yangu, mi ni mdau wa Siasa,Elimu,Teknolojia,Uhusiano na mapenzi. Nawaombeni wana JF mnipoke kwa mikono miwili hooodi!!!
Kufikiri, kuibua hoja na kuwasalisha mawazo ni sehemu ya upeo wa akili yangu, mi ni mdau wa Siasa,Elimu,Teknolojia,Uhusiano na mapenzi. Nawaombeni wana JF mnipoke kwa mikono miwili hooodi!!!
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Sep 15, 2011 #2 Karibu Sana ila hiyo spidi yako kuwa nayo makini lol!!!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,839 Reaction score 13,801 Sep 15, 2011 #3 Karibu sana JF.