I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,978 Reaction score 21,530 Nov 12, 2022 #21 Ukishaungana na Russia tayari ujue umaskini unakuandama na hili ni mjinga tu au mwenye imani zingine za kipumbavu ndio atapinga.
Ukishaungana na Russia tayari ujue umaskini unakuandama na hili ni mjinga tu au mwenye imani zingine za kipumbavu ndio atapinga.
Axel Lloyd JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 4,170 Reaction score 9,502 Nov 12, 2022 #22 4by94 said: zipo video zaid ya 100 ukihitaj nitumie namba yako ya whatsup nkutumie hizo video , na story nying zimeongelewa ikiwepo wanajesh wa Urusi kubaka raia na kupiga risas wale walioonesha bendera ya Ukraine hadharan Click to expand... Kama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watu
4by94 said: zipo video zaid ya 100 ukihitaj nitumie namba yako ya whatsup nkutumie hizo video , na story nying zimeongelewa ikiwepo wanajesh wa Urusi kubaka raia na kupiga risas wale walioonesha bendera ya Ukraine hadharan Click to expand... Kama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,315 Reaction score 50,218 Nov 12, 2022 #23 Marytina said: Ukiwa na akili timamu huwezi kuchagua kuwa chini ya Russia! Click to expand... Kabisa
Kiranja junior Member Joined Sep 26, 2022 Posts 77 Reaction score 92 Nov 12, 2022 #24 Pietro said: Ule uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%. Click to expand... Wanaoishabikia Urusi ni chuki zao binafsi tu dhidi ya Marekani na wala si vinginevyo
Pietro said: Ule uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%. Click to expand... Wanaoishabikia Urusi ni chuki zao binafsi tu dhidi ya Marekani na wala si vinginevyo
Antonio Conte JF-Expert Member Joined Dec 6, 2017 Posts 1,089 Reaction score 1,748 Nov 12, 2022 #25 Axel Lloyd said: Ule uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Warusi wao mdudu HIMARS kawaonyesha adabu mpk wamekimbia na uchavuzi wao.....huku swiswiem Bado wapo
Axel Lloyd said: Ule uchafuzi wa Putin hauna tofauti na wa CCM 2020 kushinda kwa 99%. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Warusi wao mdudu HIMARS kawaonyesha adabu mpk wamekimbia na uchavuzi wao.....huku swiswiem Bado wapo
Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,620 Reaction score 10,261 Nov 12, 2022 #26 Marytina said: Ukiwa na akili timamu huwezi kuchagua kuwa chini ya Russia! Click to expand... Kukubali kuwa chini ya Russia ni kukubali kuwa chin ya dikteta
Marytina said: Ukiwa na akili timamu huwezi kuchagua kuwa chini ya Russia! Click to expand... Kukubali kuwa chini ya Russia ni kukubali kuwa chin ya dikteta
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,166 Reaction score 2,670 Nov 13, 2022 #27 Axel Lloyd said: Kama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watu Click to expand... Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zao
Axel Lloyd said: Kama anataka kujua unyama waliofanya wanajeshi wa Urusi acheki hii documentary,yaani warusi sio watu Click to expand... Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zao
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,134 Reaction score 10,959 Nov 13, 2022 #28 Papa Mopao said: Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zao Click to expand... Unyama ni unyama tu haijalishi umefanywa na nani?
Papa Mopao said: Usikariri unyama wa Urusi tu, katafute unyama waliofanya USA na allies wake kwenye vita zao Click to expand... Unyama ni unyama tu haijalishi umefanywa na nani?
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,138 Nov 13, 2022 #29 Wazee wa Referendum 🥹🥹🥹