Kwa Serikali yetu kutokuwa transparent katika madogo, kunatoa fursa media za nje kutunga uongo. FT of London lamsingizia Rais Magufuli kuwa...

Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali

Ameondoka bila kututegulia kitendawili cha kilichowasibu akina Beny Saanane, Azory Gwanda na hata kwa nini aliunda genge la wauaji "Death Squad" kwa ajili ya kuwawinda na kuwadhuru wale wote waliokuwa wakitofautiana naye.

Ila uzuri sio mwisho, huko tuendako baada ya kumaliza maisha ya hapa hakuna wa kulinda mtu utahesabiwa haki kwa kadri ya ulivyotenda-mema na mabaya, hivyo ngoma bado mbichi.
 
Back
Top Bottom