Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
Wanabodi,
Kufuatia matatizo ninayokumbana nayo kutokana na kuchangia Jf, naomba kukitokea hoja zozote za kutanguliza mbele maslahi yang taifa, nitakuwa naanza na kibwagizo cha declaration ya uzalendo ili wenye mamlaka wapime uzalendo wangu, na kama ni kuadhibiwa au kuhukumiwa, niadhibiwe kwa haki na kuhukumiwa kwa haki, mimi nikiendelea kuwa mkweli na transparent kiuzalendo kumsaidia rais wetu, serikali yetu na taifa letu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Huu mgogoro mnaousikia kati ya Barrick na Acacia unaopelekea Barrick kuinunua Acacia kwa a hostile take over kupitia PUSU, (Put Up or Shut Up), unaelezwa umesababishwa serikali yetu kuwaandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa serikali ya Tanzania haitambui Acacia, hivyo kuilazimisha Barrick kuingilia kati kuinunua Acacia. Barrick ndio watu wa kwanza kupokea taarifa hii ndipo wakaamua kuinunua Acacia, "in meetings this past weekend, the GoT stated that it is not prepared to enter into a settlement directly with Acacia".
Serikali yetu haijawahi kutoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Taarifa hizi
tunazipatia Toronto kwa Barrick au London kwa Acacia. Kwa nini jambo lifanyike Dar es Salaam au Dodoma,
Tanzania, halafu Watanzania tupate taarifa za serikali yetu kutokea Toronto Canada au London, Uingereza. Natambua kuna taarifa za serikali ni confidential, classified, secrets na top secrets, taarifa hizo zingekuwa hizo hao Barrick na Acacia wasingezisema openly kwenye press releases zao. Kwanini serikali yetu haiko transparent kwenye mambo madogo kama haya?.
Matokeo ya kutokuwa transparent, gazeti la the Financial Times la London, juzi limetoa story hii na kumsingizia ni rais Magufuli ndie haitaki Acacia, japo serikali yetu haijasema ni nani aliyeandika hizo barua kuwa serikali haitambui Acacia, it's obvious barua hizo zimetoka serikalini na hazikuandikwa na rais Magufuli au Ikulu lakini huku gazeti linamtaja rais Magufuli in person, do you know why?.
Soma kwanza story yenyewe
Financial Times
Barrick Gold Corp
Legal and General oppose Barrick Gold’s buyout offer.
July 7, 2019 1:38 pm by Henry Sanderson
Barrick says that the country’s president John Magufuli is refusing to deal directly with Acacia.
Acacia has struggled to operate in Tanzania since 2017 when Mr Magafuli accused the company of underpaying tens of billions of dollars in taxes over 20 years.
https://www.ft.com › content
Web results
Legal and General oppose Barrick Gold's buyout offer for Acacia | Financial Times
Hawa FT wanamtaja rais Magufuli ndie ana I accuse Acacia kukwepa kodi wakati kiukweli ni serikali ndio imewadai Acacia na sio rais Magufuli.
Taarifa ya Acacia kutotambuliwa ziliandikwa na acting Chairman ww Tanzania negotiating team, kwanini wamsingizie rais Magufuli?.
Barrick has also provided the Company today with a letter from the Acting Chairman of the GoT negotiating team who have been in discussions with Barrick, dated 19th May 2019, addressed to the Company’s three operating companies, Bulyanhulu Gold Mine Limited, North Mara Gold Mine Limited and Pangea Minerals Limited. This letter states that the GoT is resolved that it will not execute final agreements for the resolution of the Company’s disputes if the Company is one of the counterparties to the agreements, and that it will only sign such agreements "if satisfied that substantial changes have been made to the management style of the Operating Companies and of their shareholders".
Japo magazeti na majarida ya mabeberu wanatusingizia mambo mengi ya uongo, lakini kiukweli kuna mengine tunayasababisha wenyewe by not doing the right thing, mfano kwenye hili, kama serikali ingekuwa wazi kuwa hatuitambui Acacia, kwa kutoa hata just two lines, kuwa huu ndio msimamo wa serikali, FT wasingekuwa na sababu ya kumsingizia uongo rais Magufuli.
Kitendo cha rais wetu kuandikwa negatively kwenye jarida lenye heshima kama FT, is not something good kwenye investment climate yetu.
Wasaidizi wa rais, tunawajibu wa kutimiza majukumu yetu kikamilifu ikiwemo kuwa transparent kwenye issues zozote zinazoweza kuiweka nchi yetu kwenye disrepute situation kama hii.
Why put our president and our nation in disrepute situation on issues that can be avoided by just a two lines press release?.
P.