Kwa Serikali yetu kutokuwa transparent katika madogo, kunatoa fursa media za nje kutunga uongo. FT of London lamsingizia Rais Magufuli kuwa...

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,178
Wanabodi,
Kufuatia matatizo ninayokumbana nayo kutokana na kuchangia Jf, naomba kukitokea hoja zozote za kutanguliza mbele maslahi yang taifa, nitakuwa naanza na kibwagizo cha declaration ya uzalendo ili wenye mamlaka wapime uzalendo wangu, na kama ni kuadhibiwa au kuhukumiwa, niadhibiwe kwa haki na kuhukumiwa kwa haki, mimi nikiendelea kuwa mkweli na transparent kiuzalendo kumsaidia rais wetu, serikali yetu na taifa letu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Huu mgogoro mnaousikia kati ya Barrick na Acacia unaopelekea Barrick kuinunua Acacia kwa a hostile take over kupitia PUSU, (Put Up or Shut Up), unaelezwa umesababishwa serikali yetu kuwaandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa serikali ya Tanzania haitambui Acacia, hivyo kuilazimisha Barrick kuingilia kati kuinunua Acacia. Barrick ndio watu wa kwanza kupokea taarifa hii ndipo wakaamua kuinunua Acacia, "in meetings this past weekend, the GoT stated that it is not prepared to enter into a settlement directly with Acacia".

Serikali yetu haijawahi kutoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Taarifa hizi
tunazipatia Toronto kwa Barrick au London kwa Acacia. Kwa nini jambo lifanyike Dar es Salaam au Dodoma,
Tanzania, halafu Watanzania tupate taarifa za serikali yetu kutokea Toronto Canada au London, Uingereza. Natambua kuna taarifa za serikali ni confidential, classified, secrets na top secrets, taarifa hizo zingekuwa hizo hao Barrick na Acacia wasingezisema openly kwenye press releases zao. Kwanini serikali yetu haiko transparent kwenye mambo madogo kama haya?.

Matokeo ya kutokuwa transparent, gazeti la the Financial Times la London, juzi limetoa story hii na kumsingizia ni rais Magufuli ndie haitaki Acacia, japo serikali yetu haijasema ni nani aliyeandika hizo barua kuwa serikali haitambui Acacia, it's obvious barua hizo zimetoka serikalini na hazikuandikwa na rais Magufuli au Ikulu lakini huku gazeti linamtaja rais Magufuli in person, do you know why?.

Soma kwanza story yenyewe

Financial Times
Barrick Gold Corp
Legal and General oppose Barrick Gold’s buyout offer.

July 7, 2019 1:38 pm by Henry Sanderson
Barrick says that the country’s president John Magufuli is refusing to deal directly with Acacia.

Acacia has struggled to operate in Tanzania since 2017 when Mr Magafuli accused the company of underpaying tens of billions of dollars in taxes over 20 years.

https://www.ft.com › content
Web results
Legal and General oppose Barrick Gold's buyout offer for Acacia | Financial Times

Hawa FT wanamtaja rais Magufuli ndie ana I accuse Acacia kukwepa kodi wakati kiukweli ni serikali ndio imewadai Acacia na sio rais Magufuli.

Taarifa ya Acacia kutotambuliwa ziliandikwa na acting Chairman ww Tanzania negotiating team, kwanini wamsingizie rais Magufuli?.

Barrick has also provided the Company today with a letter from the Acting Chairman of the GoT negotiating team who have been in discussions with Barrick, dated 19th May 2019, addressed to the Company’s three operating companies, Bulyanhulu Gold Mine Limited, North Mara Gold Mine Limited and Pangea Minerals Limited. This letter states that the GoT is resolved that it will not execute final agreements for the resolution of the Company’s disputes if the Company is one of the counterparties to the agreements, and that it will only sign such agreements "if satisfied that substantial changes have been made to the management style of the Operating Companies and of their shareholders".

Japo magazeti na majarida ya mabeberu wanatusingizia mambo mengi ya uongo, lakini kiukweli kuna mengine tunayasababisha wenyewe by not doing the right thing, mfano kwenye hili, kama serikali ingekuwa wazi kuwa hatuitambui Acacia, kwa kutoa hata just two lines, kuwa huu ndio msimamo wa serikali, FT wasingekuwa na sababu ya kumsingizia uongo rais Magufuli.

Kitendo cha rais wetu kuandikwa negatively kwenye jarida lenye heshima kama FT, is not something good kwenye investment climate yetu.

Wasaidizi wa rais, tunawajibu wa kutimiza majukumu yetu kikamilifu ikiwemo kuwa transparent kwenye issues zozote zinazoweza kuiweka nchi yetu kwenye disrepute situation kama hii.

Why put our president and our nation in disrepute situation on issues that can be avoided by just a two lines press release?.
P.
 
Wanabodi,
Kufuatia matatizo ninayokumbana nayo kutokana na kuchangia Jf, naomba kukitokea hoja zozote za kutanguliza mbele maslahi yang taifa, nitakuwa naanza na kibwagizo cha declaration ya uzalendo ili wenye mamlaka wapime uzalendo wangu, na kama ni kuadhibiwa au kuhukumiwa, niadhibiwe kwa haki na kuhukumiwa kwa haki, mimi nikiendelea kuwa mkweli na transparent kiuzalendo kumsaidia rais wetu, serikali yetu na taifa letu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Huu mgogoro mnaousikia kati ya Barrick na Acacia unaopelekea Barrick kuinunua Acacia kwa a hostile take over kupitia PUSU, (Put Up or Shut Up), unaelezwa umesababishwa serikali yetu kuwaandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa serikali ya Tanzania haitambui Acacia, hivyo kuilazimisha Barrick kuingilia kati kuinunua Acacia.

Serikali yetu haijawahi kutoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Taarifa hizi
tunazipatia Toronto kwa Barrick au London kwa Acacia. Kwa nini jambo lifanyike Dar es Salaam au Dodoma,
Tanzania, halafu Watanzania tupate taarifa za serikali yetu kutokea Toronto Canada au London, Uingereza. Natambua kuna taarifa za serikali ni confidential, classified, secrets na top secrets, taarifa hizo zingekuwa hizo hao Barrick na Acacia wasingezisema openly kwenye press releases zao. Kwanini serikali yetu haiko transparent kwenye mambo madogo kama haya?.

Matokeo ya kutokuwa transparent, gazeti la the Financial Times la London, juzi limetoa story hii na kumsingizia ni rais Magufuli ndie haitaki Acacia, japo serikali yetu haijasema ni nani aliyeandika hizo barua kuwa serikali haitambui Acacia, it's obvious barua hizo zimetoka serikalini na hazikuandikwa na rais Magufuli au Ikulu lakini huku gazeti linamtaja rais Magufuli in person, do you know why?.

Soma kwanza story yenyewe

Financial Times
Barrick Gold Corp
Legal and General oppose Barrick Gold’s buyout offer.

July 7, 2019 1:38 pm by Henry Sanderson
Barrick says that the country’s president John Magufuli is refusing to deal directly with Acacia.

Acacia has struggled to operate in Tanzania since 2017 when Mr Magafuli accused the company of underpaying tens of billions of dollars in taxes over 20 years.

https://www.ft.com › content
Web results
Legal and General oppose Barrick Gold's buyout offer for Acacia | Financial Times

Hawa FT wanamtaja rais Magufuli ndie ana I accuse Acacia kukwepa kodi wakati kiukweli ni serikali ndio imewadai Acacia na sio rais Magufuli.

Japo magazeti na majarida ya mabeberu wanatusingizia mambo mengi ya uongo, lakini kiukweli kuna mengine tunayasababisha wenyewe by not doing the right thing, mfano kwenye hili, kama serikali ingekuwa wazi kuwa hatuitambui Acacia, kwa kutoa hata just two lines, kuwa huu ndio msimamo wa serikali, FT wasingekuwa na sababu ya kumsingizia uongo rais Magufuli.

Kitendo cha rais wetu kuandikwa negatively kwenye jarida lenye heshima kama FT, is not something good kwenye investment climate yetu.

Wasaidizi wa rais, tunawajibu wa kutimiza majukumu yetu kikamilifu ikiwemo kuwa transparent kwenye issues zozote zinazoweza kuiweka nchi yetu kwenye disrepute situation kama hii.

Why put our president and our nation in disrepute situation on issues that can be avoided by just a two lines press release?.
P.
kama mbwai... mbwai tu!!
 
Kwahiyo unataka kutuambia waandishi hao wamekurupuka ??

Kwani magufuli akiwadai Kodi acasia , siyo serikali ??
 
Ukisikiliza kuanzia mwanzo mpaka dakika ya 8 utaona ni wakati gani serikari kupitia raisi na Barrick walipoamua kutoishirikisha ACCACIA kwa pamoja. Hapo pia utapata jibu kwanini ACCACIA inawalaumu Barrick kuingilia kati.

Ni vitu ambavyo vipo wazi na vimesemwa hadharani ya kuwa ACCACIA aitotambulika na wala aijasajiliwa only that we don’t pay attention
 
Paskali hapa una tapatapa tu. Kama ulivyokiri mwenyewe serikali iko kimya hivyo wewe hujui ukweli ni upi. Sasa pia ni mengi ambayo upande fulani husema ni JPM amesema au ametenda. Kumbuka kuna mkutano mmoja wazee wenzake walitahadharisha dhana ya MIMI. Sioni kama kumekuwa na utofauti hapo ngoma ni ile ile. "Wenyewe" wanasema mkuu ni alpha & omega-na kwa jambo kubwa kama hili sioni nani mwingine atakuwa ametoa maamuzi hayo. Tukimsifia kwa kila tunalo ona zuri tusishangae akabebeshwa mzigo kwa mengine yote. Issue ya Bandari ya Bagamoyo ni mfano mzuri. Maamuzi ya kwanza kabebeshwa zigo JK baada ya JPM kuengua maamuzi hayo (na sifa kupewa yeye) hata kama sote twajua alikuwa waziri mhusika (I stand to be corrected) wakati wa JK. Tukubali tu kuwa huu ndio mfumo wa maamuzi hapa nchini na bahati mbaya unaenea hadi huko chini.

Kitendo cha rais wetu kuandikwa negatively kwenye jarida lenye heshima kama FT, is not something good kwenye investment climate yetu.
Communication strategy ya serikali hii yetu inabidi ifanyiwe kazi. Ulimsikia "nguli" wetu wa sheria bungeni akiwakandia wajerumani kuhusu Hitler halafu sikuinayofuata unategemea ufadhili wao. Transparency ndio shida yetu-tunasema tunapojitaji kuwa kimya na tunakuwa kimya tunapostahili kusema.
 
Waende zao tu!
"Japo magazeti na majarida ya mabeberu wanatusingizia mambo mengi ya uongo, lakini kiukweli kuna mengine tunayasababisha wenyewe by not doing the right thing, mfano kwenye hili, kama serikali ingekuwa wazi kuwa hatuitambui Acacia, kwa kutoa hata just two lines, kuwa huu ndio msimamo wa serikali, FT wasingekuwa na sababu ya kumsingizia uongo rais Magufuli"

No need. Acacia ni WEZI nahawana hata chembe ya sababu ya kujibiwa na JMT kama nchi. Who the f*** is ACACIA in the first place? Wezi tu!
 
Duu haya bwana. Ila sema nini Paskal, wakati yule ilibidi afunge safari kwenda kujitambulisha kwa Mabeberu kuwa yeye ndiye mkuu wa Kaya, huyu yeye naona amekuwa maarufu huko bila hata kukanyaga Ardhi yao.

Samahani lakini hicho ndicho nimeambulia Kati ya mengi unayoyaleta humu hasa kuhusu mchanga!
 
Wanabodi,
Kufuatia matatizo ninayokumbana nayo kutokana na kuchangia Jf, naomba kukitokea hoja zozote za kutanguliza mbele maslahi yang taifa, nitakuwa naanza na kibwagizo cha declaration ya uzalendo ili wenye mamlaka wapime uzalendo wangu, na kama ni kuadhibiwa au kuhukumiwa, niadhibiwe kwa haki na kuhukumiwa kwa haki, mimi nikiendelea kuwa mkweli na transparent kiuzalendo kumsaidia rais wetu, serikali yetu na taifa letu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Huu mgogoro mnaousikia kati ya Barrick na Acacia unaopelekea Barrick kuinunua Acacia kwa a hostile take over kupitia PUSU, (Put Up or Shut Up), unaelezwa umesababishwa serikali yetu kuwaandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa serikali ya Tanzania haitambui Acacia, hivyo kuilazimisha Barrick kuingilia kati kuinunua Acacia.

Serikali yetu haijawahi kutoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Taarifa hizi
tunazipatia Toronto kwa Barrick au London kwa Acacia. Kwa nini jambo lifanyike Dar es Salaam au Dodoma,
Tanzania, halafu Watanzania tupate taarifa za serikali yetu kutokea Toronto Canada au London, Uingereza. Natambua kuna taarifa za serikali ni confidential, classified, secrets na top secrets, taarifa hizo zingekuwa hizo hao Barrick na Acacia wasingezisema openly kwenye press releases zao. Kwanini serikali yetu haiko transparent kwenye mambo madogo kama haya?.

Matokeo ya kutokuwa transparent, gazeti la the Financial Times la London, juzi limetoa story hii na kumsingizia ni rais Magufuli ndie haitaki Acacia, japo serikali yetu haijasema ni nani aliyeandika hizo barua kuwa serikali haitambui Acacia, it's obvious barua hizo zimetoka serikalini na hazikuandikwa na rais Magufuli au Ikulu lakini huku gazeti linamtaja rais Magufuli in person, do you know why?.

Soma kwanza story yenyewe

Financial Times
Barrick Gold Corp
Legal and General oppose Barrick Gold’s buyout offer.

July 7, 2019 1:38 pm by Henry Sanderson
Barrick says that the country’s president John Magufuli is refusing to deal directly with Acacia.

Acacia has struggled to operate in Tanzania since 2017 when Mr Magafuli accused the company of underpaying tens of billions of dollars in taxes over 20 years.

https://www.ft.com › content
Web results
Legal and General oppose Barrick Gold's buyout offer for Acacia | Financial Times

Hawa FT wanamtaja rais Magufuli ndie ana I accuse Acacia kukwepa kodi wakati kiukweli ni serikali ndio imewadai Acacia na sio rais Magufuli.

Japo magazeti na majarida ya mabeberu wanatusingizia mambo mengi ya uongo, lakini kiukweli kuna mengine tunayasababisha wenyewe by not doing the right thing, mfano kwenye hili, kama serikali ingekuwa wazi kuwa hatuitambui Acacia, kwa kutoa hata just two lines, kuwa huu ndio msimamo wa serikali, FT wasingekuwa na sababu ya kumsingizia uongo rais Magufuli.

Kitendo cha rais wetu kuandikwa negatively kwenye jarida lenye heshima kama FT, is not something good kwenye investment climate yetu.

Wasaidizi wa rais, tunawajibu wa kutimiza majukumu yetu kikamilifu ikiwemo kuwa transparent kwenye issues zozote zinazoweza kuiweka nchi yetu kwenye disrepute situation kama hii.

Why put our president and our nation in disrepute situation on issues that can be avoided by just a two lines press release?.
P.
We bwana Maneno meeeengi point 0, na ma attachment kibao

Wewe leo mzee wa kusifu na kuabudu kesho mzee wa kutoa kasoro ulizo sifia jana

Arghhhhhh unakera
 
Mkuu pascal Mayala mbona wakati sakata hili linaanza serikali ilisema waziwazi kwamba haiitambui Acacia kwa kuwa haijasajiliwa hapa nchini?
 
barua ya serikali inabaraka zote za kiongozi mkuu wa serikali, lakini mimi nimemsahau jina lake, sijui anaitwa nani vile?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom