Kwa sasa modem gani inakidhi mahitaji?

2500/= kwa 400MB??? sijaelewa mkuu.mbona katika zile bei zao wanasema kwa mwezi ni 75000/=.nielekeze vizuri hiyo ya 2500...

Kifurushi cha 70,000/- kinaitwa "FULLDATA" NA KIWANGO CHA DATA NI KIKUBWA KULIKO CHA 2500/- AMBACHO NI 400MB.VYOTE VIWILI NI VYA MWEZI MMOJA.
 
kwa modem nzuri tumia Safaricom zilizoUnlocked, na ISP wa ukweli wenye data packages za kueleweka nakushauri Airtel (400MB @2,500/=) au vodacom(unlimited @30,000/=) monthly,,,

24pf2g6.jpg
 
Inategemea na matumizi ya mtu,kama ni kubrowse pages tu,airtel,tigo,voda zinafaa,speedy internet,sehemu zenye 3G acess,voda,zain,zantel, kama wataka kudownload meGa files ttcl ndo nzuri,unatumia internet when you want, voda pia waweza download large files,but they will switch you to lower speeds kadri unavyodownload.
 
niambie modem hizo za safaricom zinapatikana wapi? zinazouzwa hivi sasa kenya zote ni locked. na kuna safaricom mpya zimetoka speed up to 12Mbps. lakini kwa TZ inakuwa kama kuua mbu kwa mzinga. maana hatuna ISp wa kutupa spidi kama hiyo
kwa modem nzuri tumia Safaricom zilizoUnlocked, na ISP wa ukweli wenye data packages za kueleweka nakushauri Airtel (400MB @2,500/=) au vodacom(unlimited @30,000/=) monthly,,,

24pf2g6.jpg
 
Back
Top Bottom